mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Huna haja ya kumtafuta dalali bila kuwa na mwenyeji utapigwa za kichwa,Ikiwa hutajari naomba ni connect na mtu wa huko. AAhsante
Nenda mzenga zegelo ofisi za mwenyekiti mtaa,,
Eleza shida zako,,
Nitakupa namba za mwenyeji pm,,mweleze shida zako na makubaliano yafanyike Kwa mtendaji wa kijiji.
Nimenunuwa heka 2 huko na ni barabarani na umeme upo ..
Hakuna longolongo Wala utapeli.
Hayo maeneo baadae itakuwa very hot cake.
Njia ya mlandizi-kisarawe itajengwa kiwango Cha lami na Kuna miradi mingi ya serikali njia hyo.