Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhi ya uwekezaji ni shilingi 50,000/- utapewa mwisho hekari 50Ukipenda mteremko huko mbele utakutana na mlima. Kuwa makini na shortcut.
Kuna mtu amesema hapo juu aina ya gari inayowezafika hukoUkihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama
Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani
Wapi uko mkuuArdhi ya uwekezaji ni shilingi 50,000/- utapewa mwisho hekari 50
Ongea na.watu vizuri mjini pagumiWapi uko mkuu
Mhhh,mizonge Tena hiyoKuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Tarafa ya BUGANDOSasa Geita ipi maeneo yanapatikana.
Aliumwaje? Hakuvaa viatu, sivyo?Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Nenda handeni_kilindi huko mapori ya kutosha.
Ukiwa mtulivu na mdadisi na kuongea vizuri na wenyeviti wa vitongoji heka mmoja utapata hata chini ya laki.
Vijana wa hii mikoa ni wapiga kazi , ukiwekeza kwao inalipaWeka kambi chukua vijana toka usukumani au kigoma,weka nao mkataba waingie kazini.
Mkuu wanafia wangapi mjini kwa kung'atwa na bodaboda? Kifo popote.Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Hupatkan ChiefNaomba nikutafute mkuu
Tanga wilaya ipi?Tanga njoo nikuuzie shamba langu
Bei gani unauza? lipo kitongoji gani hapo chamgoi?Mkuu nina shamba langu nauza lipo kijiji chamgoi ukitoka kimanzi chana mpaka kijijini ni mwendo wa 30mn kwa pikipiki shamba ni langu halina dalali.
Sababu ya kuuza wenyeji waliokuwa wananiangalizia shamba wamehama hivyo sina muda wa kwenda huko mara kwa mara
Wengi wanasema handeni ndo kuna maeneo mengiTanga wilaya ipi?
Swala la nyoka mashambani halikwepekiKuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa