tuntufyemushi
Member
- Jun 21, 2015
- 27
- 11
Kaka Mpui Ipi,? Baada Ya Laela Au Kabla?Karibu Mpui unapata hata kwa 50,000....ulizia Mwenyekiti Chengwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka Mpui Ipi,? Baada Ya Laela Au Kabla?Karibu Mpui unapata hata kwa 50,000....ulizia Mwenyekiti Chengwa
Mwanza haipo sehemu ya ekari kuuzwa laki moja.. Labda kukodi ndio inachezea humo.Mwanza vipi?
Huko watu wanalima sana so kupata aridhi ni issueMwanza haipo sehemu ya ekari kuuzwa laki moja.. Labda kukodi ndio inachezea humo.
Kama unatoka Sumbawanga mjini baada ya Laela mbele ya KihandaKaka Mpui Ipi,? Baada Ya Laela Au Kabla?
Dodoma ipi nije mkuu?Njoo Dodoma kuna heka kibao,mazao ni mahindi,ufuta, maharage,Alizeti,Zabibu,mpunga,Uwele,Njugu,Karanga,Mama,Mahindi,Korosho bila kusahau Mboga Mboga nk.
Mkuu nina shamba langu nauza lipo kijiji chamgoi ukitoka kimanzi chana mpaka kijijini ni mwendo wa 30mn kwa pikipiki shamba ni langu halina dalali.Great thinkers.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.
Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..
Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli
Karibuni
Asanteni.
LINDI TUNAKUPA BURE KABISA..
Alaah nomaIla mtamloga
Mungu akunusuru na msshetan wabaya WA VIWANJA watajazana mpaka utashangaa humuu njoo huku kuleeGreat thinkers.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.
Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..
Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli
Karibuni
Asanteni.
Na wajukuuuu wazo jema sema KUNA mashrtani kadhaa watajazanaa wakiyoka HAPO KUNA mapepo ya kwenye kilimoo hayoo unaweza kufa kama umekopaOngezeaaa SHEMEJI mpwaa
Sasa km35 kutoka kilwa road ni mbali?Ukihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama
Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani
Masasi ipi?mana masasi nikubwa na inavijiji vingi.Njoo Masasi kaka utanishukuru
Mkuu wapi hukoMkuu ni PM nikupeleke nafanya kazi huko, ardhi kama yote, af no mbolea mazao yanaenda tu.
Sema mnakula hela za watu kimbe sana. Yani udalali 50% utampata falaNitafute rukwa wilaya ya kalambo kuna heka 150 special kwa mahindi, maharage na mazao mengine bei ni 100000 per heka weka ya udalili 50000 per heka
Bodaboda si zipo?Ukisema unataka kwenda shambani basi usisahau kununua land cruiser engine 1kz, 1kd, 1hz pia 1hdt pia Kuna Hilux 3l na 5l hapo at least utakuwa serious na shamba Kwan shamban Bila gari inayovuta tair zote 4x4 (4-wheel) n ngumu kutoboa tofauti na hapo shamba litabaki kuwa stori
Nimechomekea hili ni muhimu sana