JimmyKB
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 413
- 564
Huko Ismani unalima mazao gani?Wadau wanasema isimani pako Vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Ismani unalima mazao gani?Wadau wanasema isimani pako Vizuri sana
Sasa huko mzee si wanakaa wahehe?! Halafu ni mlimani, Ila Kuna chakula balaa! Ni pazuri sanaWilaya zote ni karibu vijiji vyote,isipokuwa kuna Kijiji Kimoja kinaiwa wotta_Mpwapwa wagumu kuuza.Bei ni kuanzia laki na nusu inategemea na muuzaji.Huko wotta ni watu waliohamia Toka Iringa kutokana na vita vya wajerumani na Wanyalukolo!
bei haijabadirika sana inachezea laki 3-5 mie nimetoka mwezi wa 6 ila ntarudi tenaNilikuwepo huko mwaka 2020, bei ilikuwa chini, sijui sasa hivi labda.
Hiyo barabara ya Mwese kupita Kapanga, maeneo yalikuwa bei sawa na bure.
Asante mkuu. Hivyo vijiji vya kahama ulivyotaja wanauza bei Gani?Ni mengi mno.
Kuanzia, Sumbawanga, Namanyere hadi Mpanda vijiji vya Senta Maria, Kasekese, Kagunga hadi Katuma.
Kama unataka kanda ya Shinyanga, Maeneo ya Kahama vijiji vya Senta Chale, Segese, Lugunga hadi Kalumwa.
Tanzania bado ina maeneo mengi sana mazuri tu bei ya chini, ni wewe kuchagua tu.
Bei per hekari?Mkuu karibu Morogoro Mikese, shamba lipo ukubwa hekari 140, shamba lipo KM 7 kutoka ilipo mizani ya mikese morogoro, barabara inapitika muda wote, shamba limesafishwa na linalimika kwa trekta
Wapi huko milele amina tukuje kutajirikiaHuku niliko, mashamba ni Bure,Yana rutuba nyingi na Kuna maeneo Yana dhahabu
Bei mzuri, hi ni kwa pori linalohitaji kusafishwa sio?Lind 50000
Kwa shambani chaguo bora ni Pikipiki haoujue mninga inapita hadi kwenye maji kama boatMshauri atafute Suzuki Escudo old model. Akipata manual trans itakuwa poa zaidi. Popote atakapopita mtu wa Cruza basi ile gari inapita bila wasi wasi 4WD yake sio mchezo.
Wazo zuri MkuuKwa shambani chaguo bora ni Pikipiki haoujue mninga inapita hadi kwenye maji kama boat
Mkuu ni PM nikupeleke nafanya kazi huko, ardhi kama yote, af no mbolea mazao yanaenda tu.Great thinkers.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.
Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..
Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli
Karibuni
Asanteni.
Wakati mwingine bei ndogo inaashiria mambo yaliyojificha. Be carefully.Great thinkers.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.
Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..
Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli
Karibuni
Asanteni.
Pande za wapi Mkuu?Huku niliko, mashamba ni Bure,Yana rutuba nyingi na Kuna maeneo Yana dhahabu
Mkuu senta chale,lugunga,kalumwa,segese maeneo ni sh ngapi kwa heka. Na kama hutojali hivyo vijiji ni uelekeo gani ukiwa hapo kahama. Naifahamu kahama kiana.Ni mengi mno.
Kuanzia, Sumbawanga, Namanyere hadi Mpanda vijiji vya Senta Maria, Kasekese, Kagunga hadi Katuma.
Kama unataka kanda ya Shinyanga, Maeneo ya Kahama vijiji vya Senta Chale, Segese, Lugunga hadi Kalumwa.
Tanzania bado ina maeneo mengi sana mazuri tu bei ya chini, ni wewe kuchagua tu.
Kizapara, kibuyuni, kibudi, kitomondo, mwanamkali au msangamwelu au wapi?Njoo mkamba ,mkuranga utapata eka kwa laki 5