Ukihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama
Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani