Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Great thinkers.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.

Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..

Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli

Karibuni
Asanteni.
Mkuu nina shamba langu nauza lipo kijiji chamgoi ukitoka kimanzi chana mpaka kijijini ni mwendo wa 30mn kwa pikipiki shamba ni langu halina dalali.

Sababu ya kuuza wenyeji waliokuwa wananiangalizia shamba wamehama hivyo sina muda wa kwenda huko mara kwa mara
 
Great thinkers.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane.

Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko..

Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya kwenda Tanga baada ya Tuliani. Sehemu nyingine ni miono baada ya msata sijui kama ni kweli

Karibuni
Asanteni.
Mungu akunusuru na msshetan wabaya WA VIWANJA watajazana mpaka utashangaa humuu njoo huku kulee
 
Ongezeaaa SHEMEJI mpwaa
Na wajukuuuu wazo jema sema KUNA mashrtani kadhaa watajazanaa wakiyoka HAPO KUNA mapepo ya kwenye kilimoo hayoo unaweza kufa kama umekopa

Badoo wale wahuni WA shambaaniii tumaaa helaa dawa haitoshelezi wewee
 
Ukihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama

Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani
Sasa km35 kutoka kilwa road ni mbali?
 
Kuna maeneo ukijichanganya kwenda kulima ynafilisika.
1.UMBALI
2 HUDUMA MUHIMU HAKUNA
3.UANGALIZI WA SHAMBA NI GHALI (Ngedere + Tumbili+ Kima mara tembo wafugajikulisha mifugo)
4. WATEJA WA UNACHO KILIMA HAKUNA
 
Ukisema unataka kwenda shambani basi usisahau kununua land cruiser engine 1kz, 1kd, 1hz pia 1hdt pia Kuna Hilux 3l na 5l hapo at least utakuwa serious na shamba Kwan shamban Bila gari inayovuta tair zote 4x4 (4-wheel) n ngumu kutoboa tofauti na hapo shamba litabaki kuwa stori

Nimechomekea hili ni muhimu sana
Bodaboda si zipo?
 
Back
Top Bottom