Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Ukihangaika utapata hata kwa laki 1 ila kuna vitu inabidi uzingatie
Mashamba huwa yako mbali saana hivyo si Ashlabu ukakutana na changamoto za
1. Accessibility
2.Wanyama Wakalli
3. Wizi/Usalama

Kuna jamaa kanunua eka 50 laki 3 kwa ekari jumla 15m. Lakini ni takriban km 35 kutoka Kilwa road, na hivi vi Baby Walker vyetu tunavyotanua navyo Magomeni havimalizi hata km 10 kwa jinsi njia ilivyo mbovu, katika miezi 12 ana uwezo kuingia shambani kwa muda wa miezi 8 tu, miezi 4 iliyobaki hakuingiliki shambani
Kuna mtu amesema hapo juu aina ya gari inayowezafika huko
 
Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Aliumwaje? Hakuvaa viatu, sivyo?
 
Nenda handeni_kilindi huko mapori ya kutosha.

Ukiwa mtulivu na mdadisi na kuongea vizuri na wenyeviti wa vitongoji heka mmoja utapata hata chini ya laki.

Hii ni kweli kabisa. Mimi ni mwenyeji wa Handeni, mwaka 2017 nilinunua kiwanja kwenye mradi wa viwanja pale Handeni mjini.

Ardhi ipo nyingi kwaajili ya kuishi pamoja na mashamba, na bei ni nzuri.
 
Kuwa makini kuna jamaa tumemzika kama miez 2 imepita aling'watwa na nyoka shambani kwake, kuna sehemu zinatisha sana japo kama mpambanaji usikate tamaa
Mkuu wanafia wangapi mjini kwa kung'atwa na bodaboda? Kifo popote.
 
Mkuu nina shamba langu nauza lipo kijiji chamgoi ukitoka kimanzi chana mpaka kijijini ni mwendo wa 30mn kwa pikipiki shamba ni langu halina dalali.

Sababu ya kuuza wenyeji waliokuwa wananiangalizia shamba wamehama hivyo sina muda wa kwenda huko mara kwa mara
Bei gani unauza? lipo kitongoji gani hapo chamgoi?
 
Back
Top Bottom