Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

Ikiwa hutajari naomba ni connect na mtu wa huko. AAhsante
Huna haja ya kumtafuta dalali bila kuwa na mwenyeji utapigwa za kichwa,
Nenda mzenga zegelo ofisi za mwenyekiti mtaa,,
Eleza shida zako,,
Nitakupa namba za mwenyeji pm,,mweleze shida zako na makubaliano yafanyike Kwa mtendaji wa kijiji.
Nimenunuwa heka 2 huko na ni barabarani na umeme upo ..
Hakuna longolongo Wala utapeli.
Hayo maeneo baadae itakuwa very hot cake.
Njia ya mlandizi-kisarawe itajengwa kiwango Cha lami na Kuna miradi mingi ya serikali njia hyo.
 
Mkuu mwandende upo? Wife kaleta house girl mpya ni msumbufu sana, nimetumia mbinu ya kunyatia usiku nimegonga mwamba aisee.
 
Nachingwea kuna nyoka wengi sana, hilo ni tatizo.
 
Mkuu mwandende upo? Wife kaleta house girl mpya ni msumbufu sana, nimetumia mbinu ya kunyatia usiku nimegonga mwamba aisee.
Nipo mkuu ,,sasa nakushauri tumia mbinu hii ya kumpan zawadi Kwa Siri na kumpa pesa kusaidia wazee wake kijijini..

Hiyo usipomla basi naitupa simu yangu baharini..
🤣🤣🤣
Hyo mbinu ni ktk zile mbinu 5 kali sana .
 
Ardhi ya laki 2 au 5 hakuna. Njoo hapa chekereni ya moshi vijijini nikuuzie ekari 5 kwa 5m.
Maji yapo, shamba linalimwa, linastawi kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…