Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu