Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

Daah kmmk mpanzu anajua sana mwamba yule i think akipata match fitness atakuwa wimbo wa taifa hapa bongo kila mtu atamuimba.

Technically,tactically,ball control,first touch hakuna anayemfikia. Hakuna winga wa kaliba yake hapa tz.
 
Back
Top Bottom