Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Alishawaona Kagera wameingia kwenye mfumo..Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu
Aliupiga mwingi!Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu
Ungekuwa unamzidi maarifa Fahdlu ungepewa wewe kazi ya kukinoa kikosi, kwa bahati mbaya huna lolote so kaa kimya usimpangie kazi aliye juu zaidi yako.Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu
Mwishokambi 🤣🤣🤣ficha uchi wako wa ubongoFUatilia page ya simba youtube usikilize alichosema kocha kuelekea match ya simba na kagera.
Kama uliangalia mpira kwa jicho la chuki na wivu huwezi kuona kama kaupiga mwingi maana kila goli la Simba likiingia ulikuwa unaangalia kama hakutoa assisst au kufunga kisha unafurahi kwa kuwa siyeAliupiga mwingi!
Lete takwimu zake hapa na siyo blaa blaa!
WeeeElie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu
Kati ya kocha na wewe Nani mjinga?Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu
Ndio maana wewe sio kocha.Mpanzu nafikiri alitolewa ili kumlinda na faulu waliokuwa wanafanya utopolo B na hapo matokeo yalishapatikana. Ila sub za Kijili na Mzamiru sikuzielewa.
Nimesema nafikiri hayo Mambo ya ukcha yametokea wapi.Ndio maana wewe sio kocha.
Halafu muache ujuaji,ina maana wachezaji wengine wasicheze hata kama mechi tunaonekana tumeshinda?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Simba Ina mechi nyingi sana mfululizo..pia Ina kikosi kipana sana..kwahiyo kocha anafanya hivyo kutunza nguvu na stamina ya wachezaji kwa mechi zijazo.Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness.
Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje.
Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na Kijiri.
Ni kwa vile tu tumeshinda na Kagera wa mwaka huu wabovu sana lkn upangaji wa timu na sub haufanyiki kitaalamu.
Mpanzu anatakiwa acheze dakika zote 90 ili awe fiti kama wenzake.
Jiangalie sana Fahdu, ukiteleza kidogo tu Yanga akakaa juu imekula kwetu
Hukuiona zile on target tatu?Aliupiga mwingi!