gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Dec 22, 2024 #21 Smart911 said: Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Eti baba mahondaw we ni simba au yanga?
Smart911 said: Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw Click to expand... Eti baba mahondaw we ni simba au yanga?
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,187 Reaction score 2,794 Dec 22, 2024 #22 Daah kmmk mpanzu anajua sana mwamba yule i think akipata match fitness atakuwa wimbo wa taifa hapa bongo kila mtu atamuimba. Technically,tactically,ball control,first touch hakuna anayemfikia. Hakuna winga wa kaliba yake hapa tz.
Daah kmmk mpanzu anajua sana mwamba yule i think akipata match fitness atakuwa wimbo wa taifa hapa bongo kila mtu atamuimba. Technically,tactically,ball control,first touch hakuna anayemfikia. Hakuna winga wa kaliba yake hapa tz.
kishumbaz JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,183 Reaction score 1,619 Dec 22, 2024 #23 BRN said: Hukuiona zile on target tatu? Click to expand... 🤣🤣 Mpanzu mchezaji wa kawaida sana hana tofauti na William Edgar wa Fountain gate, wabingo hatuthamin vya kwetu!
BRN said: Hukuiona zile on target tatu? Click to expand... 🤣🤣 Mpanzu mchezaji wa kawaida sana hana tofauti na William Edgar wa Fountain gate, wabingo hatuthamin vya kwetu!