Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie aachane na mambo ya kuuliza uliza asome yoyote maana baada ya ku-graduate wote watakua jobless hakuna wa kumtambia mwenzie, tukutane Sensa 2032Kuna mdogo wangu kachaguliwa.
Agriculture economics and agribusiness pale Sua.
Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.
Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.
Natanguliza shukrani 🙏
Dah aiseeMwambie aachane na mambo ya kuuliza uliza asome yoyote maana baada ya ku-graduate wote watakua jobless hakuna wa kumtambia mwenzie, tukutane Sensa 2032
ni nzuri mkuu wangu .ina fursa kwenye mabenki /hazina /na kazi zote za uchumi anakuwa na uwezo wa kuaplai. Kikubwa ajipange sababu ina hitaji efforts kubwa pia kuwa na GPA nzuriKuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.
Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.
Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.
Natanguliza shukrani 🙏
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahMwambie aachane na mambo ya kuuliza uliza asome yoyote maana baada ya ku-graduate wote watakua jobless hakuna wa kumtambia mwenzie, tukutane Sensa 2032
issue sio kuwa nje ya nchi, issue wana nini? usiwe kama darasa la 7 kwa poor reasoningWashikaji zangu wawili wamesoma hyo kozi SUA wote wapo nje ya nchi mmoja yupo Israel mwingine yupo USA kwenye makampuni mi nipo bongo nabishana na washikaji ile ya leo ilikuwa penalty au sio mwambie ajaribu bahati yake kama ameipenda mwenyewe kutoka moyoni.
Nimeandika hapo anachofanya umesoma mpaka mwisho nilichoandika hata hvyo mi ni poor unataka niwe na mawazo ya MO.issue sio kuwa nje ya nchi, issue wana nini? usiwe kama darasa la 7 kwa poor reasoning
Wewe jamaa umenifanya nicheke sana bar kwa watu.Washikaji zangu wawili wamesoma hyo kozi SUA wote wapo nje ya nchi mmoja yupo Israel mwingine yupo USA kwenye makampuni mi nipo bongo nabishana na washikaji ile ya leo ilikuwa penalty au sio mwambie ajaribu bahati yake kama ameipenda mwenyewe kutoka moyoni.
Sio kozi mbaya, infact hilo ni jina tu ila deep down ni sawa tu kozi ya economics exept yenyewe ni uchumi ulio base kwenye kilimo..Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.
Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.
Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.
Natanguliza shukrani [emoji120]