Anayefahamu kuhusu hii kozi naomba msaada wa kimawazo

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.

Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.

Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.

Natanguliza shukrani πŸ™
 
Kuna mdogo wangu kachaguliwa.

Agriculture economics and agribusiness pale Sua.

Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.

Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.

Natanguliza shukrani πŸ™
Mwambie aachane na mambo ya kuuliza uliza asome yoyote maana baada ya ku-graduate wote watakua jobless hakuna wa kumtambia mwenzie, tukutane Sensa 2032
 
Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.

Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.

Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.

Natanguliza shukrani πŸ™
ni nzuri mkuu wangu .ina fursa kwenye mabenki /hazina /na kazi zote za uchumi anakuwa na uwezo wa kuaplai. Kikubwa ajipange sababu ina hitaji efforts kubwa pia kuwa na GPA nzuri
 
Washikaji zangu wawili wamesoma hyo kozi SUA wote wapo nje ya nchi mmoja yupo Israel mwingine yupo USA kwenye makampuni mi nipo bongo nabishana na washikaji ile ya leo ilikuwa penalty au sio mwambie ajaribu bahati yake kama ameipenda mwenyewe kutoka moyoni.
 
Mwambie aachane na mambo ya kuuliza uliza asome yoyote maana baada ya ku-graduate wote watakua jobless hakuna wa kumtambia mwenzie, tukutane Sensa 2032
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
issue sio kuwa nje ya nchi, issue wana nini? usiwe kama darasa la 7 kwa poor reasoning
 
issue sio kuwa nje ya nchi, issue wana nini? usiwe kama darasa la 7 kwa poor reasoning
Nimeandika hapo anachofanya umesoma mpaka mwisho nilichoandika hata hvyo mi ni poor unataka niwe na mawazo ya MO.
 
Hii kozi haina wigo mpana wa ajira na wala haitamsaidia kijana kujiajiri. Mwambie asome General Agriculture akishindwa kupata ajira anaweza jiajiri kwenye kilimo kwa ujuzi wake. Narudia wigo wa ajira ni mdogo.
 
Wewe jamaa umenifanya nicheke sana bar kwa watu.
 
Kuna mdogo wangu kachaguliwa. Agriculture economics and agribusiness pale SUA.

Nimekuja hapa jukwaani kuuliza kwa wanao ijua vizuri na fursa zake katika Dunia ya sasa.

Je, inaweza msaidia 2025 atakapo graduate.

Natanguliza shukrani [emoji120]
Sio kozi mbaya, infact hilo ni jina tu ila deep down ni sawa tu kozi ya economics exept yenyewe ni uchumi ulio base kwenye kilimo..

Sio kozi mbaya ila kwa ushauri kama anaweza akasome either agriculture general, horticulture au animal science za hapo SUA.

ILA Kama form6 hakusoma science aendelee tu na hiyo hiyo..
 
Chaguo la kwanza angeomba general agriculture pili hiyo kozi ni ngumu tatu Sua ni pamotooo nne amalizie mwenyewe
 
Wewe jamaa umenifanya nicheke sana bar kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…