Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi alinichekesha ile episode ya Shilole[emoji1787]Ila kimbembe ana kipaji Sana asee ingawa uhusika wake si mzuri ktk jamii ya kiafrika(si mfano wa kuigwa)
Kuna episode moja alikuwa anamfokea kuku jogoo Kwa kuwika wakati yeye ana stress kibao..hayo maneno alivyokuwa anamchamba jogoo lazima ucheke,dogo ameibeba sn Ile tamthiliya
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Shilole ameenda Saluni kwao halafu hela hana,,sasa Mama Kimbo akawa anamwambia Kimbembe kuwa ,wamhudumie atawapost social medias.
Kimbembe anasema mimi nachotaka ni hela yangu[emoji23]
Mama Kimbo anamwambia Kimbembe yule Staa,,
Kimbembe anasema hamna lolote"Mimi namuona tu Zuwena wa Igunga aliyekuja Dar kuuza Mgahawa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app