Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

Ila kimbembe ana kipaji Sana asee ingawa uhusika wake si mzuri ktk jamii ya kiafrika(si mfano wa kuigwa)

Kuna episode moja alikuwa anamfokea kuku jogoo Kwa kuwika wakati yeye ana stress kibao..hayo maneno alivyokuwa anamchamba jogoo lazima ucheke,dogo ameibeba sn Ile tamthiliya

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mimi alinichekesha ile episode ya Shilole[emoji1787]
Shilole ameenda Saluni kwao halafu hela hana,,sasa Mama Kimbo akawa anamwambia Kimbembe kuwa ,wamhudumie atawapost social medias.
Kimbembe anasema mimi nachotaka ni hela yangu[emoji23]
Mama Kimbo anamwambia Kimbembe yule Staa,,
Kimbembe anasema hamna lolote"Mimi namuona tu Zuwena wa Igunga aliyekuja Dar kuuza Mgahawa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada aidha elimu yako ndogo sana kwenye sanaa na maisha..

Iko hivi ile tamthiliya inaonyesha uhalisia ya maisha ya uswahilini na maeneo yao ya kazi yalivyo.

ujumbe unaopata hapa
1.kwann watu hawa huwa hawaendelei hta km wanakashughulisha na biashara( sababu kuu biashara zao huenda kijamaa na kukopesha pasipo na kiwango)

2. Pili wanawake/wanaume/ marafiki kukaa muda muda mwingi sehemu za biashara za wenzao kupiga stori ndio chanzo cha umaskini ,umalaya na ndoa kuvunjika

3.maisha yao huonesha pesa nyingi inavyoweza kupotea tokana na mtindo wa maisha yao aidha kwa kununua vitu vya anasa,urembo badala ya kuwekeza ili zizalishe

4. Imani potofu na athari zake kwa jamii husika

Huo ni baadhi ya ujumbe ambao mtu mwenye akili timamu anaupata na kupitia tamthiliya hiyo anaweza kuilimisha jamii yake kw kuangalia athari za maisha hayo

KIFUPI NDUGU SI KILA FILAMU IELEZEE ATHARI ZAKE ILA JAMII NDIO HUTUMIA FILAMU KM CASE STUDY KUONYESHA ATHARI YA MAISHA YALE..

Mfano kuna series za wauza madawa ya kulevya,huonyesha ujanja wa wafanya biashara hizi,starehe wanazokula,majumba ya kifahari wanayoyamiliki,wanavyoheshimiwa na kuogopewa na maafisa wa serikali,maisha ya kikatili,umalaya n.k.

Filamu hizi inaweza kuisha haya magenge wanauana wenyew kwa wenyew
kwa kichwa cha kawaida km chako unaweza kusema sijaona mafundisho yoyote..

Serikali inapata funzo na athar za hawa watu kwenye jamii

Wananchi wanapata funzo ya hatari ya kujiingiza kwenye biashara hizi hasa vijana wapenda shortcut za maisha... n.k
 
UZURI NYOTE MNAONEKANA MNAIFUATLIA, SISI WENGINE TUNAAMINI TAMTHILIA HUFUSTILIWA WANAWAKE ZAIDI, WANAUME HAWANA MUDA, WA KUTENGA MUDA WAO WA KUFUATILIA HIZI MAMBO, ISPOKUA VIPINDI MAALUMU KAMA MPIRA, TENA KWA TIMU PENDWA TU.
 
Alafu unakuta hao wenye muda maisha yao mazuri kuliko yako,na wavyovimiliki wewe kwako ni moja ya ndoto zako unazozitaka kila siku unamuomba Mungu kuzifikia..

Maisha ni kitu cha ajabu sana..
 
Tamthiliya ya saluni ya mama kimbo Haina mchango chanya kwenye jamii ya kitanzania, Africa na dunia kwa ujumla.Ni ujinga tu.zipo njia nyingi za kufundisha jamii hasara za umbea lakini sio kwa njia hii ambayo kama imetumika kama kusapoti umbea hivi.wahusika hawaeleweki leo huyu kaka kesho ni mume nk.
Na nasikia imerudiwa,Hadi nikahisi pengine Ili tamthiliya yako ioneshwe ni lazima utoe chochote maana zipo tamthiliya nying kibao lakin hazipewi nafasi.na kwa mwendo HUU ukuaji wa tamthiliya ya bongo Hadi kuwa wa ushindani itakuwa ni ndoto nyingine
 
Asante kwa elimu
 
Kama umesoma intro ya huu uzi utakuwa umeelewa
 
Alafu unakuta hao wenye muda maisha yao mazuri kuliko yako,na wavyovimiliki wewe kwako ni moja ya ndoto zako unazozitaka kila siku unamuomba Mungu kuzifikia..

Maisha ni kitu cha ajabu sana..
Sometimes tunapuuza maana kuna kontena limaliza form six juzi nalo limejaa humu, kwaio hata usishangae mkuu
 
Tamthiliya ya saluni ya mama kimbo Haina mchango chanya kwenye jamii ya kitanzania, Africa na dunia kwa ujumla.Ni ujinga tu.zipo njia nyingi za kufundisha jamii hasara za umbea lakini sio kwa njia hii ambayo kama imetumika kama kusapoti umbea hivi.wahusika hawaeleweki leo huyu kaka kesho ni mume nk.
Na nasikia imerudiwa,Hadi nikahisi pengine Ili tamthiliya yako ioneshwe ni lazima utoe chochote maana zipo tamthiliya nying kibao lakin hazipewi nafasi.na kwa mwendo HUU ukuaji wa tamthiliya ya bongo Hadi kuwa wa ushindani itakuwa ni ndoto nyingine
Mkuu yaani ni mauzauza tu
 
Mm niliwahi kuwaambia watu hii sera ya ushoga inapitishwa taratibu mpk baadae itakua ni jambo la kawaida. Fikiria kwenue hiyo tamthilia kuna jamaa mmoja anashinda saluni ya wanawake yy anaongea kama mwanamke na matendo yake pia. Pata picha mwanao ndo anaangalia na kumuona yy atajua mwanaume kua kwenye hali hiyo au kuongea hivyo kwa mwanaume ni kawaida. Kwa mweli hayo maudhui yafutwe
 
Alafu unakuta hao wenye muda maisha yao mazuri kuliko yako,na wavyovimiliki wewe kwako ni moja ya ndoto zako unazozitaka kila siku unamuomba Mungu kuzifikia..

Maisha ni kitu cha ajabu sana..
Sawa Wakiwa wanamiliki zaidi ya vya kwangu, ukiona mtu ana muda, tayari amepata huyo, mimi muda wa kuafuatilia mama kimbo, kwa muda kama wa jana kila siku mtaupata wapi.
Unaweza ukajaribu kurudi mapema, ukwama kwenye kituo cha daladala. Sema tu niwapongeze mnaofuatilia mama kimbo.
 
Mm niliwahi kuwaambia watu hii sera ya ushoga inapitishwa taratibu mpk baadae itakua ni jambo la kawaida. Fikiria kwenue hiyo tamthilia kuna jamaa mmoja anashinda saluni ya wanawake yy anaongea kama mwanamke na matendo yake pia. Pata picha mwanao ndo anaangalia na kumuona yy atajua mwanaume kua kwenye hali hiyo au kuongea hivyo kwa mwanaume ni kawaida. Kwa mweli hayo maudhui yafutwe
Mkuu upo sahihi kabisa watu watafirana hadi mke luthu afufuke halafu wachomwe moto kama kiwashion kabla ya jehanamu
 
Back
Top Bottom