Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Habari Wadau
Yawezekana kabisa kuna watu siju hizi hawaangalii TBC 1. Lakini kuna ambao kila siku kuanzia saa 10 usiku tunaiangalia TBC 1 kutokana na shughuli tunzokuwa tunazifanya.
Muda woe huo kipindi cha mwaka mzima huwa zinapigwa nyimbo hizo hizo mpaka tumezikariri. Wimbo zinapigwa kila siku ni zile za Msondo ngoma.
1. Kaza roho, Ajali na Penye penzi hapakosi Tezi. Baadae inafuata Nakei Nairobi ya Mbilia Bel. Kisha unafuata wimbo wa Sina makosa nyimbo hizi ni mwaka mzima sasa.
Hivi nchi yote hii kuna wasanii hao hao tu au flash ya hizo nyimbo iliharibikia humo humo kwenye kompyuta. Fuatilieni muone. Labda watabadilika