House4Sale Anayehitaji kununua apartment Upanga

ee bwana umemmaliza, ila kama hana aibu atakuja na povu hapa kweli jf ni bahari
 
Bei haitajwi, kila mmoja anatajiwa bei yake kulingama na mwonekano atakao enda nao.
Hahaha,aisee hii kali,
Ngoja niende na Yebo Yebo
Labda kwa kumsaidia jamaa,Kuna Apartment zinauzwa Dubai ila zimewekwa maelezo yote mpaka bei.Tena na Installment zake ili watu wanaoishi nje ya Dubai waweze kuwa na picha halisi
 
Ukifika maelezo yote utapata karibu!
Kama haiwezekani kuweka bei hapa, basi tunaomba link ya website yenu tukangalizie huko. Bei ndio itanifanya nifunge safari kuja kufanya negotiations nanyi.
 
Bei kaka
Size
Location
Description
Owner
Contact
Ungefuata huu utaratibu tungekuwa mbali mnafanya biashara zisizo na utaratibu ndo shida haya apartment kama hiyoo unategemea Mimi nilioko kimara ndo nije means utarget market kubwa sasa kila MTU akija ofisini kuuliza tu bei hauoni mnaluhusu Wateja kuja tu ofisini mladi muonekane mko bize ila Ku utilize time ni zero
Next time wambie mabosi wako waache mambo ya kichawi
 
Yaan kifupi ni hivi bei ya hizo nyumba ile ya bei chee ni 337M kama utatoa pesa cash.

Ila kama utataka ulipe kidogo dogo baada ya miaka 5 umalize deni lote.. Utaratibu wao ni ulipie kwanza down payment ambayo ni 20% sawa na 67.3M.... Halafu kila mwezi uwe unawalipa 6.4M kwa miezi yote iliyobakia..

So kwa kifupi ukisema ulipie kidogo dogo kwa miaka 5 itakuwa jumla imekutoka walau si chini ya 450M kuweza kuimiliki yote.

Nikimaanisha kuwa utawalipa pesa ndogo zaidi kama ukimaliza kuwalipa deni lao mapema zaidi
 
size -158, location upanga -mfaume street karibu na sido or plot 993, Owner Group six internatinal contact 0659800800 au zilizopo hapo juu
 
Hahaha,aisee hii kali,
Ngoja niende na Yebo Yebo
Labda kwa kumsaidia jamaa,Kuna Apartment zinauzwa Dubai ila zimewekwa maelezo yote mpaka bei.Tena na Installment zake ili watu wanaoishi nje ya Dubai waweze kuwa na picha halisi
Zanzibar Spices nicheki kwenye 0713-039875 ninahitaji viungo vya chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…