Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma jedwali hili.naomba kujua mchanganuo wa kiwango cha mshahara na asilimia yake ktk kodi ya "pay as you earn" (PAYE)
mkuu Malyenge kwa gratuity inayorange kwenye 2.5m kwa sisi tulio na mkataba wa mwaka mmoja mmoja ktk ajira zetu inakuaje?manake inatakiwa nipokee 2.5m lakini natakiwa nikalipe tra kodi inayofikia 666800,hapa inakuaje mkuu?pesa kidogo kodi kubwa kiasi hicho?msaada wako tafadhali
nami naomba msaada nina ndugu yangu amepanga nyumba ya mama mmoja mjini Arusha, baada ya kukosa uwezo wa kulipa kodi ya nyumba ilipita miezi mitatu bila kulipa mama wa nyumba kafunga nyumba na kusema alipe kwanza ndo aendelee kuishi,wiki mbili zilizopita ndo amepata kazi hivyo mwezi April ndo anaweza kulipa deni je alichotendewa ni sahihi?
Hii kodi ya wafanyabiashara wa huduma za kipesa uko vipi? Nazungumzia watu wa Tigopesa, M-pesa, Airtel money n.k. Hawa wanakatwa kodi za kamisheni zao kila mwisho wa mwezi wa kupokea mishahara/kamisheni zao. Inakuwaje bado mtu huyu anatakiwa kwenda kulipa tena TRA wakati kodu yake ishakatwa kwenye simu?
Habari yako kiongozi, na swali na income tax act ya Tanzania. Suala la deferred tax kwenye nchi yetu likoje ?? TRA wana deal vipi na hii ishu kwenye assessment za income taxes ?
Mtaji huwa hautozwi kodi bali kipato utakachokipata mkuu.