Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Kwani kujeruhi,kuteka,kuua ni sera?
Na wewe umeishiwa unaaza kuleta hadithi za kuhisi na wala hujui maana ya sera.

Sera ni ahadi ambayo mwanasiasa anawapa wapiga kura wake kuwa mkinichagua nitafanya mambo yapi. Sasa basi, leta mfano wa mwanasiasa aliyehutubia wananachi akitangaza hayo unayosema kama siyo maneno yako ya uchochoroni tu. Hisia za namna hii huenda ndizo zinafanya CHADEMA inakosa sera, kwani wanadhani kulaumu ndiyo sera; ni afadhali hata mzee Rungwe ana sera zinazjulikana.
 
Tumbo likiwa na njaa ni shida! Waweza tukana na kuwataa ndugu, wazazi, marafiki na hata mitume!
 
Sasa unaingia kwenye kupotosha bila ya sababu yoyote, ila hiyo tu ya kupotosha.
Ni wapi nilipoandika kwamba "CHADEMA hawana sera kwa vile Mbowe ambaye ndiye chama chenyewe" Huu ni upuuzi.

Nimekubali lini kwamba:CHADEMA kama chama hakina sera, kinategemea matamko ya Mbowe tu."

Inajulikana kuwa huo ugonjwa unaokusumbua wa 'Alzheimer' ulikuwa hautibiki kwa kukosa dawa, lakini nakufahamisha sasa kwamba angalao kuna matumaini, dawa zimeanza kupatikana, ila bado ni za majaribio. Nakushauri ukajiandikishe mapema ili uwekwe kwenye kundi la majaribio ya dawa hizo. Pengine utabahatika kupata nafuu.
 
Sasa unaingia kwenye kupotosha bila ya sababu yoyote, ila hiyo tu ya kupotosha.
Ni wapi nilipoandika kwamba "CHADEMA hawana sera kwa vile Mbowe ambaye ndiye chama chenyewe" Huu ni upuuzi.
Hapana, hukuandika hivyo bali hiyo ni tafsiri yangu mimi binafsi kuhusu hili swali hili uliloweka hapa. Kwangu linaonyesha kuwa sasa hivi hawawezi kusema lolote kwa vile ndiyo tu Mbowe amefanya mkutano na Rais samia. Aliyefanya mkutano ule ni Mbowe na sera za chama zinatakiwa ziwe independent of personalities !

Sasa niambie, katika muda huu mfupi, na ukizingatia hayo waliyokubaliana, utategemea vipi CHADEMA waonyeshe yale yale waliyokuwa wanaonyesha wakati wa Magufuli, wakati ambapo walikuwa wakiwindwa kupigwa virungu, kuwekwa mahabusu, na hata kutishiwa kuuwawa?
 
Delila (Josephine) ametuharibia Samsoni wetu [emoji24]

Nguvu zimemuishia Sanson imebaki hadithi kuwa hapo zamani za kale alikuwa ni mtu mwenye nguvu na misimamo lakini Delila Josephine kwa tamaa akatumika kumuharibu Sanson wetu sisi waTZ!

Delila Josephine salamu zikufikie popote ulipo na ujue ya kuwa utavuna ulichopanda kwa hila na ghiliba zako !
 
Zamani ilikuwa hivyo lakini baada ya kumpata Delila - Josephine hali yake na nguvu na akili ikabadilika mpaka sasa kila siku afadhali ya jana!

Inasikitisha sana
Hivi Delila wake ni CCM Member?
 
Post imekaa kijinga jinga hivi! Unauliza maswali bila kushirikisha akili ya kuzaliwa .... ebu fanya home work kidogo utaelewa amesimamia wapi.
 
Kwa nini CAG Assad alifukuzwa kwenya nafas yakei asiendelee kipindi cha pili?
 
Shida akili yako ndogo Sana hutaweza kumwelewa mtu mwenye akili kubwa na mzalendo wa kweli Dr. Slaa

Nimeamini kumbe watu tunatofautiana Sana katika uwezo wa akili

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Erythrocyte

Upinzani wa sasa si kama wa miaka 5 hadi 15 nyuma, ni wazi umeyumbishwa na itachukua muda kidogo kurudishwa kama awali...

Kimsingi, wanasiasa wa upinzani wanapswa kuutumia muda huu kujijenga kimya kimya kama vile kimbunga kinavyoaanza kujijenga kabla ya kuwa hatari kinapokomaa
 
Sasa hv anasimamia tumbo lake,this man is disgrace and stain in opposition and academia flatenity,how does one stand that low!it's so demeaning both at personal and professional level
 
Delila Josephine anachojua ni kujichubua tu basi!

Ametuharibia akili ya Mzee wetu ! Inauma sana.

Mzee alikuwa akifika Bungeni anatumikia watanzania kwa moyo wote , akili, nguvu na uadilifu wake wote.

Jamaa alikuwa akisoma between lines maandishi yote yahusuyo kazi za bunge, miswada, Sheria, budget n.k

Alikuwa halali tofauti na walivyo wengi.

Lakini kaja kuangushwa na adui kupitia Delila.

Mision accomplished
 
Wengi wa wabunge hasa wa chama fulani huenda bungeni kama wanaenda adventures [emoji108]

Wanaenda kujirusha kunywa na mambo ya ndengele kwa sana!

Wanasubiri kusema ndiooooo

Hawajishughulishi kusoma wala kuhoji maswala ya msingi yenye hatima ya vizazi vya Taifa hili.

Sijui hawajisikii kuwiwa mioyoni mwao?!
 
Silaa amepoteza kibali machoni pa watanzania wengi tangu alipoasi!

Sasa hivi hata akiongea la Maana yanakuwa ni makele tu masikioni mwa wengi.

Tubia dhambi ya usaliti kwanza mzee.
 
Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua.

Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........

Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine😁
Nitajie mtu mmoja ambaye hasumbuliwi na tumbo. Wewe kila dakika unaposti Mbowe, Mbowe hadi umeitwa Chawa Namba moja. Husumbuliwi na tumbo? Lissu kila siku, posho zangu za ubunge, posho zangu za ubunge; hasumbuliwi na tumbo? Pumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…