pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Eeh ni raia wa kawaida tu hivi sasaKamuulize!
Ogopa sana njaaa inaweza kukudhalilisha mchana kweupeeeDr
Mi nnavyojua Dr hana njaa kihiiivyo !!Ogopa sana njaaa inaweza kukudhalilisha mchana kweupeee
Na mzee kazeeka kweli,ila kaongea sahihi kabisa, hajamtukana mtu kasema anavyojisikia km mtanzania wa kawaida tu.Navyojua kadri mwanadamu anavyozidi kuzeeka ndio akili yake inarudi kuwa kama ya mtoto, hivyo simshangai huyo babu.
Binafsi kwangu wanasiasa wote ni wale wale yaani wanasiasa, hususan karne hii hakuna visionaries bali flip floppers...
Haya maneno nimeanza kuyasikia miaka mingi iliyopita, lakini hadi leo hicho kifo sikioni zaidi ya watu kufaAnasimamia kweli.
Mbowe asipokomaa upinzani utakufa rasmi!
Hivi ameacha kula mihogo mibichi na maji?😂😂😂😂Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .
Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .
Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .
Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .
View attachment 2164960
Kama unaweka tafsiri yako katika mambo ninayoandika mimi, basi sina muda nawe kwenye mjadala huu.Hapana, hukuandika hivyo bali hiyo ni tafsiri yangu mimi binafsi kuhusu hili swali hili uliloweka hapa.
Hapana, hukuandika hivyo bali hiyo ni tafsiri yangu mimi binafsi kuhusu hili swali hili uliloweka hapa.
🤣🤣🤣Yeye na Mkulu haviivi
Anamtumia ujumbe kiaina
Anasumbuka bure ataishia kuwa kama lyatonga
Kama ana busara atulie aishi miaka mingi vinginevyo....
Nilipoona anamuita mwendazake baba nikajua kuna kitu hakipo sawa kwenye medulla oblangata...
Yeye na mwendazake nani baba?
Inawezekana na wewe ni mmoja wa wanaomanini kuwa sera ni yale matamko ya viongozi wanayofanya majukwaani na kwenye maandamano. Tamko la Mbowe kama Mbowe au kama mwenyekiti wa CHADEMA ni kitu kimoja na sera ya CHADEMA ni kitu kingine. Linaloongelewa hapa ni sera ya CHADEMA siyo matamko ya Mbowe.Kama unaweka tafsiri yako katika mambo ninayoandika mimi, basi sina muda nawe kwenye mjadala huu.
Wewe nilijua toka zamani sana kuwa ni mpuuzi..., , lakini naona matatizo yako yamezidi kadri unavyoendelea kuzeeka na kuchanganyikiwa kiakili.Inawezekana na wewe ni mmoja wa wanaomanini kuwa sera ni yale matamko ya viongozi wanayofanya majukwaani na kwenye maandamano. Tamko la Mbowe kama Mbowe au kama mwenyekiti wa CHADEMA ni kitu kimoja na sera ya CHADEMA ni kitu kingine. Linaloongelewa hapa ni sera ya CHADEMA siyo matamko ya Mbowe.
ndio alipinga hata sla alipinga ila tatzo la magufuli alipenda sana sifa na majivuno ukimkosoa lazma uwe adui yake, alikuwa apendi kukosolewa na ndo mana alitukandamiza sana upnzani na alikuwa mbinafsiMagufuli alipinga Ufisadi ?