Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .
 
View attachment 2164960
Huyu Mzee, ni tumbo tu linalomsumbua.

Baada ya kuona kuwa ametupwa nje ya ubalozi........

Anatafuta njia za kuonekana na wanaccm, Ili apewe "ulaji" mwingine😁
 
Yeye na Mkulu haviivi
Anamtumia ujumbe kiaina
Anasumbuka bure ataishia kuwa kama lyatonga
Kama ana busara atulie aishi miaka mingi vinginevyo....
Nilipoona anamuita mwendazake baba nikajua kuna kitu hakipo sawa kwenye medulla oblangata...
Yeye na mwendazake nani baba?
 
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960
Kumwelewa dr. Slaa lazima uwe na akili kubwa zaidi ya hapo utabaki na vijembe
 
Hiyo post iko wazi kabisa labda wewe unaisoma ukiwa umefunga jicho moja.

Magufuli alikuwa na msimamo wa wazi ambao wapinzani walikuwa wakiupinga kila siku na hata ajenda ya Lissu kwenye kampeini yake ya urais ilikuwa ni kumpinga Magufuli tu. Mama msimamo wake hauko wazi kiasi hivho: kawapa kila walichodai ikiwa ni pamoja na kumtuma DPP asiendelee kumshitaki Mbowe, kuwaita ikulu na kuwapa chai, na kuwaambia kuna kamati ya kuratibu mikutano ya siasa, kama vile katiba haina vipengele hivyo. Kwa hali hiyo amewanyamazisha kabisa na wala hawana ajenda tena. Ndiyo matatizo makubwa ya vyama vya siasa kutokuwa na ajenda imara ya kitaifa bali wanayumba na events za wakati huo tu. Mpaka juzi bado Mbowe anaongelea ya Magufuli tu ambaye hayupo tena!
 
Anasimamia moyo wa Jpm🤣🤣
 
imebidi nicheke tu , hivi Chadema ndio ya kuhadaika na hizo kamati duni zilizoundwa na kujaza wachumia tumbo , nadhani utakuwa unatania
 
Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana Lowassa akaingia Chadema na kupitishwa kugombea Urais .

Baada ya Lowassa aliyeletwa na Dr Slaa kupitishwa kugombea Urais , Dr Slaa akajiondoa Chadema kwa Ushawishi wa Mchumba wake na kwa ushawishi pia wa Dr Mwakyembe , akaingia ccm na kuwa mpiga debe wao , akalipwa Ubalozi kwa kazi hiyo ya kupiga debe na kutukana Lowassa na Sumaye , ambao kwa sasa wako wote chama kimoja .

Kwa kufupisha tu nina swali dogo kuhusu huyu Mzee , Juzi alimsifia Dr Magufuli kwa kuwa Mwanademokrasia na kuilaumu serikali kwa kumnyima fursa ya kumuombea alipokuwa Mgonjwa , na kwamba hadi leo moyo wake uko ndani ya magufuli au sijui magufuli ndio yuko kwenye moyo wake .

Sasa hebu msomeni hapa halafu mtueleze kile anachokisimamia .

View attachment 2164960
Mlinda legacy anatafuta uenyekiti board .....njaa mweeee
 
Back
Top Bottom