Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

Dawa zipo,shida wagonjwa wa siku hizi mbwembwe nyingi,unampatia dawa atumie yeye anatumia siku mbili halafu anakwambia sijapona.Ugonjwa una miaka 3 ila anataka apone siku 2.Mwisho wa siku ni kuharibiana brand tu.Ila Kama uko serious dawa ipo kweli unapona.
 
ukipata tiba badilisha na life style kuanzia kula,uwe unakunywa maji mengi,usile vyakula vigumu i mean choo chako kisiwe kigumu pia kama kazi yako ni yakukaa muda mrefu basi hakikisha unakuwa unapata muda wa kufanya mazoezi.

nilionaga humuhumu waliandika kuwa mgagani unatibu nenda jf search utakutana na hizo nyuzi..
 
Huwezi amini mkuu bawasili inatibika kwa kula Sana tango,peaz,embe la kuiva na chungwa

Shariti ni moja tu.

Kama unatumia pombe Kali simama Ila bia kunywa ni wiki moja tu utakuwa sarama

Usisahau kunipa mlejesho Anza Sasa mkuu
 
Watu wa tabora hutumia mrenda wima kupaka sehemu husika(sijui huchanganywa na nini)
 
Huwezi amini mkuu bawasili inatibika kwa kula Sana tango,peaz,embe la kuiva na chungwa

Shariti ni moja tu.

Kama unatumia pombe Kali simama Ila bia kunywa ni wiki moja tu utakuwa sarama

Usisahau kunipa mlejesho Anza Sasa mkuu
Asante nitajaribu
 
Back
Top Bottom