Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

Kuna uzi humu wanasema kalia ndoo ya maji ya moto yenye chumvi mvuke wake upige penye bawasiri. Tafuta nyuzi zinazohusu bawasiri humu JF utapata tiba
Ataongeza tatizo, atumie dawa za asili.
 
Jalibu hii...mimi ilinisaidiaa nilianza kuitumia baada ya siku tatu kugundua na tatizo. Baada yakupa ushauli wa dactari
20241228_174014.jpg
 
Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Dawa ni kuhama mazingira hayo uliyopo na kuhamia kwengineko hapo ndio utapona Bawasiri haina dawa narudia ni habitual ukihama na yenyewe inapotea
 
Bado sijapata nahitaji ndugu
Toka October 18, dawa zote ulizotajiwa humu hakuna iliyokusaidia? Toka useme upo Mwanza na sasa unasema Dar, hujapona tu? Basi hiyo "dawainasiri"
 
Back
Top Bottom