Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
5,621
Reaction score
5,029
Amani iwe nanyi wanaJf,

===
Nilikuwa napitia hotuba na machapisho mbalimbali ya Rais wetu kipenzi Hayati Dk Johnb John Joseph Pombe Magufuli kunajambo naomba wenye ufahamu watusaidie japo na mimi nitachagiza kidogo kwa uelewa nilionao||
===
Kwenye hotuba zake karibu zote Katika kila alichotamka kwa idadi alijilinganisha na Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na yeye mara zote aliibuka kuwa mshindi na hadhira wakati wote ilimshangilia kwa nderemo na vifijo,fine||

HOJA YANGU HII HAPA,
______________________


1. Je! Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alilenga kuonesha kuwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete hakufanya lolote na hafai au aliamini katika sayansi ya "Comparative analysis|advantage" kama njia bora zaidi ya kuelezea ubora wa mtu |kitu? kwa kuisaidia hadhira husika kutambua vizuri "Ilikotoka, Iliko na inakokwenda ?

2. Je! Wale tunaoiga mtindo huu mzuri sasa wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli wa kutumia na sisi njia ile ile ya " Comparative advantage " dhidi yake yeye mwenyewe na Rais aliyeko madarakani yaani Rais Samia Suluhu Hassan kwakufanya hivyo tunamkosea Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Mafuli ?!
===
Kwa ufahamu wangu, sikweli kwamba Hayati Rais Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alilenga kuonesha Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete hakufanya lolote laa hasha ila alitaka wananchi tuelewe zaidi tulikotoka,tulipo na tunapokwenda vivyo hivyo wanaotumia " Comparative analysis " dhidi ya Hayati Rais Magufuli na Rais Samia nawao watakuwa na maana ileile aliyokuwanayo Hayati Dk John John Pombe Magufuli,
===
Angalia hizi picha hapo chini ,nilikozungushia ni rejea ya mwaka 2015 aliyoifanya Hayati Dk John John Joseph Pombe Magufuli dhidi ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ambayo hata hivyo haijawahi kulalamikiwa na Dkt Jakaya mwenyewe wala walinda legacy wake,



 
Wewe ni zaidi ya Mwl nadhani tayari wameelewa vizuri,
Kumlinganisha Rais Samia ni Hayati Rais Magufuli kwa mambo mema ni Jambo jema sana endelea mkuu,
 
Men lie women lie but numbers don’t lie… Magufuli alilijia hili vizuri sana na ndio maana alihakikisha hesabu zake zinasomeka kwa watanzania wengi, takwimu ndio zinaweza kukubeba ama kukuzika nadhani ndio maana hakucheka na nyani (professor Assad) alipotaka kuchezesha takwimu za utawala wake, Namba zisipozingatiwa ama kuchezewa inakuwa ni business as usual.
 
Hivi bado ni buku saba ileile au ilishapanda!?

Wewe mama tumeishakugundua, acha kujisifia ujinga. Urais unakupwayq
 
Hivi bado ni buku saba ileile au ilishapanda!?

Wewe mama tumeishakugundua, acha kujisifia ujinga. Urais unakupwaya
 
Tatizo ni wale wanaofikiri Rais Samia hawezi kufanya vizuri zaidi ya Watangulizi wake hata pale alipofanya vizuri bado hawataki umlinganishe na yeyote ila asimame yeye kama yeye jambo ambalo kwenye "Comparative advantage linakataa,

Watu wanaona kumlinganisha Hayati Rais Magufuli na Rais Samia na Rais Samia akashinda eti huko ni kumsema vibaya Hayati Rais Magufuli najua wanahitaji elimu kama hizi,
 

The Winner Is The Last Man Standing;
 
😍
 

Kwenye Trilion 1.5
 
Comparison analysis lazima iwe na baseline bwashee. Samia ataanzia April 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…