Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Hizo namba zenu za porojo na mama yako zisizo na uhalisia ndio zinakufanya usifie usiku na mchana..
Kwani lumumba dau si wameshakupandishia?
Njoo sema hapa ipi ni namba ya Uongo,

Mimi sijui propaganda ila najua facts tu,

Kusema uongo naogopa Mungu wangu ntamkosea
 
Mithali 3:33

Laana Ya Mungu I Katika Nyumba Ya Waovu
Mungu anamwambia Nabii Isaya kuwa "dhambi zenu zijapokuwa nyekundu kama bendera zitakuwa nyeupe kama sufu " hii imekaaje?
 
Umeandika UPUUZI tu hakuna chochote Cha maana hapo umeishia kurudia rudia tu mifano yako ya hovyo na sijui hata Hoja yako ya kumtetea mama yako ulitaka iwasilisha vipi. Kifupi ni UPUUZI m tupu umeandika hapa
 
Ila wenzako wengi wameielewa vizuri,

But mimi sio mpuuzi na sijawahi kuwa mpuuzi kabisa
 
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Vividical..????
Kilugha gani hiki? Baki na kiswahili lugha mama. Btw Magu hana wa kumlinganisha nae kwa sasa...alikuwa kwenye ligi yake peke yake itachukua miaka kumpata kama yeye tena
 
Vividical..????
Kilugha gani hiki? Baki na kiswahili lugha mama. Btw Magu hana wa kumlinganisha nae kwa sasa...alikuwa kwenye ligi yake peke yake itachukua miaka kumpata kama yeye tena
Sasa mbona Rais anampita karibu katika kila sekta,

Japo hii sio mada yangu,
 
Vividical..????
Kilugha gani hiki? Baki na kiswahili lugha mama. Btw Magu hana wa kumlinganisha nae kwa sasa...alikuwa kwenye ligi yake peke yake itachukua miaka kumpata kama yeye tena

Maana kwenye utawala wake maiti zilianza kuokotwa kwenye mifuko, kupigana risasi mpka makanisani watu kupotezwa na wasiojulikana kubambikia watu kesi, kweli itachukuwa mda kumpata kiongozi mwenye roho ya hovyo kama yeye
 
Yes leteni hizo fact tujadili, CCM hakuna anayelipwa ni Uzalendo kwa Taifa na Rais wetu,
Wale walio_edit gazeti la kule Scotland unataka kusema walikuwa wanafanya kazi burebure tu!? Hapana , nakataa.
 
Sasa mbona Rais anampita karibu katika kila sekta,

Japo hii sio mada yangu,
JPM all day any day....Mama ninamtakia utendajj mwema ila uhalisia hasa wa legacy yake Viz-a-viz performance yake katika indicators zozote utazochagua itakuwa ni 2030 baada ya kumaliza ngwe yake. Kwa sasa huna data za kutosha kupata pattern inayozungumza.
 
Maana kwenye utawala wake maiti zilianza kuokotwa kwenye mifuko, kupigana risasi mpka makanisani watu kupotezwa na wasiojulikana kubambikia watu kesi, kweli itachukuwa mda kumpata kiongozi mwenye roho ya hovyo kama yeye

Uliuliwa lini na kubambikiwa kesi gani wewe jamaa baada ya kuokotwa kwenye kiroba? Kisha ukafufuka kuja kuchangia mada jf?
 
Back
Top Bottom