Jesusie
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 1,466
- 766
SawaUpo sahihi mkuu, ndio maana ukiangalia nchi kama USA maraisi wao wapo wengi na kila mmoja anamchango wake na mapungufu yaliyopelekea wao kufika hapo walipo leo, tutafika tu isipokuwa ni muhimu kila zama ikaweka takwimu zake bayana na yote hii ni kwa manufaa ya vizazi vijavyo kujifunzia.