Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
KAZIIENDELEESafi sana hii, Tanzania nakupenda sana,
Hakuna Kama Rais Samia😍😍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAZIIENDELEESafi sana hii, Tanzania nakupenda sana,
Hakuna Kama Rais Samia😍😍
😍😍Kazi iendelee
CHADEMA inawahusu hiiMithali 3:33
Laana Ya Mungu I Katika Nyumba Ya Waovu
Kazi kweli kweliYaani jiwe badala ya kuponda wapinzani yeye alimponda kikwete Boss wake aliye mpa ugali.. Tena kwa nguvu....alimfanyia nini????
mrithi wake...
ofisi moja...
.chama kilekile...
sera zilezile zilizotufikisha hapa!!....
Boss wake...
kaka yake....
Alikuwa na wasiwasi gani kwa kikwete mbona hana makuu huyu jamaa??
Wasiwasi wa jiwe nini?aliona jamaa ana profile kuubwa...south kwenye msiba walimshangilia sana kikwete kuliko magu.ile ilimuumiza jiwe.
Ajabu kikwete hakumjibu...daaa kajamaa kana akili sana. Jifunzeni kitu kwa kikwete.
😀😀😀Hivi bado ni buku saba ileile au ilishapanda!?
Kazi iendelee Tanzania,tuko salama Sana na Mama Samia,Yaani jiwe badala ya kuponda wapinzani yeye alimponda kikwete Boss wake aliye mpa ugali.. Tena kwa nguvu....alimfanyia nini????
mrithi wake...
ofisi moja...
.chama kilekile...
sera zilezile zilizotufikisha hapa!!....
Boss wake...
kaka yake....
Alikuwa na wasiwasi gani kwa kikwete mbona hana makuu huyu jamaa??
Wasiwasi wa jiwe nini?aliona jamaa ana profile kuubwa...south kwenye msiba walimshangilia sana kikwete kuliko magu.ile ilimuumiza jiwe.
Ajabu kikwete hakumjibu...daaa kajamaa kana akili sana. Jifunzeni kitu kwa kikwete.
Mpaka sasa amefeli kwenye mapambano dhidi ya corona, kampeni ya chanjo imebuma na nina uhakika hata fedha na vifaa tiba vilivyoingizwa nchini kupambana na corona vimekwisha chakachuliwa, amefeli kwenye mfumuko wa bei za bidhaa nchini, amefeli kwenye nishati ya umeme, amefeli kwenye kudhibiti ajali na mauaji nchini hususani ya wanafamilia.amefeli kwenye miradi mbalimbali ambayo kwa sasa inasuasua,ikiwemo barabara ya njia nane morogoro road,n.kTatizo ni wale wanaofikiri Rais Samia hawezi kufanya vizuri zaidi ya Watangulizi wake hata pale alipofanya vizuri bado hawataki umlinganishe na yeyote ila asimame yeye kama yeye jambo ambalo kwenye "Comparative advantage linakataa,
Watu wanaona kumlinganisha Hayati Rais Magufuli na Rais Samia na Rais Samia akashinda eti huko ni kumsema vibaya Hayati Rais Magufuli najua wanahitaji elimu kama hizi,