Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Comparison analysis lazima iwe na baseline bwashee. Samia ataanzia April 2021
Tena wewe hili somo linakufaa sana,

Unasumbua sana na maneno yako ya ajabu ajabu,
 
Upo sahihi mkuu, ndio maana ukiangalia nchi kama USA maraisi wao wapo wengi na kila mmoja anamchango wake na mapungufu yaliyopelekea wao kufika hapo walipo leo, tutafika tu isipokuwa ni muhimu kila zama ikaweka takwimu zake bayana na yote hii ni kwa manufaa ya vizazi vijavyo kujifunzia.
 
Naungana nawewe kwenye hili 100% reference is the always
 
Jifunze jinsi ya kusifia kwa lugha ya tafsida
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
 
Unamfananisha Prof Assad na Magufuli kweli?
Hivi CV ya Assad unaijua hata kidogo? Uadilifu wa Assad unaweza kufananisha na wanasiasa wa kiafrika kweli?
Muogope Mungu unapopiga propaganda.
Assad hayupo group la wanasiasa kama Magufuli au Ndugai, yule ni Professional mwenye ethics zake.
 
Hapa nakataa, pengine upo CCM lakini sio jikoni, kila chama lazima kiwekeze kwenye kitengo cha propaganda. Iwe ni offline ama online, twanga kotekote is a must.
Mimi ni mwanachama tu wa kawaida mwenye mapenzi na nchi yangu na Rais wangu basi,
 
Angekuwa na ethics asingelihangaika na wanasiasa, yule ni mwanasiasa tu Kama wengine kikubwa ajitanabaishe Kama wenzie maisha yaendelee.
Kwani Assad ni Profesa wa kwanza au CAG wa kwanza? Uttoh was the best hajawahi argue na wanasiasa kwakuwa alikuwa na akili timamu sio huyo Assad ambae baada ya kitumbua chake kuungua huko NSSF kwa DAU akaanza makasiriko.
Mwambie aingie siasani kwa uwazi ili akutane na wanasiasa wenzie.
 
Namba tangu lini inatafsida wee mtu?

So far mimi sijawahi kusifia Mtu hapa zaidi ya kueleza fact tena with a vividical evidence
Hizo namba zenu za porojo na mama yako zisizo na uhalisia ndio zinakufanya usifie usiku na mchana..
Kwani lumumba dau si wameshakupandishia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…