Anayejua Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli alimaanisha nini aliposema haya atusaidie

Sawa
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Kumbe unapenda ligi
 
Umeongelea tafsiri zako za Hotuba za JPM na siyo alichokisema.

Usitupotezee muda
 
Tunataka maendeleo hata AMUTUKANE KABISA cha hiyo ku compare tu. Lakini kama hakuna anachofanya ni bure.
Ieleweke sisi tunataka MATOKEO, umeanzaje, ni sababu hatuna shida Matokeo ndio hitaji,
 
Nimeelewa vizuri Sana hii, Asante sana
 
Wapuuze watu wa namna hiyo.
 
Yaani mtu na akili zako ukae unajadili kauli ya mtu uliambiwa ana cheti mirembe!!!
 
Mwendazake ashakwenda zake, kumjadili ni kumpa promo la bure !! hakuna aliyedhani kuna siku Tanzania yetu kiongozi anaweza kupigwa risasi mchacha mchana kama mnyama wa mwitu na hakuna kesi.
 
Mwendazake ashakwenda zake, kumjadili ni kumpa promo la bure !! hakuna aliyedhani kuna siku Tanzania yetu kiongozi anaweza kupigwa risasi mchacha mchana kama mnyama wa mwitu na hakuna kesi.
Hayo hayapo tena fanya kazi zako kwa uhuru ,

Mama anaupiga mwingi
 
Wewe unajuaje kama nitatukana!

Maelezo meeengi!!!

Kiingereza kiiiiingi!!!!!!

CHAKUSHANGAZA HUJAJIBU SWALI!
Haha maisha ya kutaja taka majina ya wanaume wenzako! Ooooh fulani anafaaa, nani amekuuliza, leta hoja critical issue .
Hili jukwaa halijakusudiwa kujadili majina ya watu ( hili jukwaa si kikao cha kupitisha majina ya wagombea) mbwege wewe
 
Kazi iendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…