Anayejua historia ya Kill Paul tunaiomba, anavuma nje kuliko kawaida

kuna watu kibao maarufu na hatuwajui ije kua huyo mvaa mapazia kuwa mitandaoni sio kuwajua watu maarufu me mwenyewe nimeshaona post yake ila hata sikuifungua kuangalia nn kinaendelea hapo nawezaje mjua anafanya sanaa gani
 
Kwenu ndo mnaweka hayo Kama mapazia?

Siyo lazima ujue kila kitu
 
Unaambiwa kuna wamasai matajiri wa tanzanite wanaongea kingereza kama ton brair ila hawajagusa hata kidato
Ni Tanzania tu kuna uvivu wa kujifunza lugha.. hapo DRC watu kibao wanajua English, French, Lingala & Kiswahili. Na idadi ya wanaojifunza English na Kiswahili inaongezeka kwa kasi ya ajabu. Tanzania tunadanganyana na Kiswahili peke yake
 
Ukweli kiingereza n rahisi kwao kuliko kiswahili na kukuta mmasai kachafua LA,Paris,London ila daslam hapajui tatizo watu wanawachukulia poa sanaa.
Visa za kwenda huko Paris, LA & London wanachukulia ofisi za ubalozi zilizopo Oldonyo Sambu na Lengijave kwahiyo hakuna haja ya kwenda Dar.
 
kuna watu kibao maarufu na hatuwajui ije kua huyo mvaa mapazia kuwa mitandaoni sio kuwajua watu maarufu me mwenyewe nimeshaona post yake ila hata sikuifungua kuangalia nn kinaendelea hapo nawezaje mjua anafanya sanaa gani
.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni Mmmasai wa Morogoro na anazungumza kimasai, niluguru na kuimba kihindi

He is smart
 
Visa za kwenda huko Paris, LA & London wanachukulia ofisi za ubalozi zilizopo Oldonyo Sambu na Lengijave kwahiyo hakuna haja ya kwenda Dar.
😳😳😳😳😳😳😳
 
Hii ni NGUVU YA SODA
Mr Nice
Saida karoli.
ndio wale wale.
 
Huyu jamaa sio wa kudumu. Labda ajiongeze apige mishe zingine zaidi ya anachokifanya. Aingie hata kwenye movie za Bollywood. Huyu namweka kundi moja na kina Piere Liquid, 900 itapendeza, Karim Mandonga mtu kazi, na wengine wanaovumaga kwa muda mfupi na kupotea.
 
unajua ameanza kuhit tangu lini mkuu? pia ukumbuke huyu ni kimataifa hao uliwa mention walikuwa media za hapa nyumbani ndio zilikuwa zinawapa kiki, Mwisho japo sio kwa umuhimu huyo jamaa pia anwasaidia wahindi na serikal yao kupata pesa hivyo wataendelea kuishi nae maana kuna benefit wanapata
 
Itakua unamjua juzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…