M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
NDIO JAMII ZA WATU WENYE IQ KUBWA TANZANIA.Ukweli kiingereza n rahisi kwao kuliko kiswahili na kukuta mmasai kachafua LA,Paris,London ila daslam hapajui tatizo watu wanawachukulia poa sanaa.
KWA WALIO SOMA NA WAMASAI DARASANI WAJUA NAMNA WANAVYO KIMBIZA