kamwendo
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 900
- 1,923
Mkuu naomba ufafanue kumulika vitochi inakuwaje?Hasara unaweza kuipata pale wakipita wahuni na vitochi wakimulika mashine inamwaga pesa zote.
Kwahiyo jitahidi uimarishe ulinzi siyo tu kauchia tu mashine wewe uko busy ama kijana unaemwachia nae anaacha tu ofisi na kuzurula