Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Oya kwa moto huko hatari.Nimechekaa sanaa, 😂😂😂
Oya kwa moto huko hatari.Nimechekaa sanaa, 😂😂😂
Wanakuaga wamejiandaa. Hamna mtu yupo tayari kuriskKwa Sisi Wanaume rijali Tunaokula vyakula vya asilo daily hapa hatuchomoi, lakini limoja tu 50K, kavu kavu au na gloves?
Atapewa dondakoo.Shauri zake.ni tiba ya mwili hiyo
😅😅 nasikia kwenye massage huwa wanavua nguo wote wanabaki kama walivyo zaliwaaAtapewa dondakoo.Shauri zake.
Yeah!Wanavaa suti za kuogea.Yaani wanabaki kichele hata kimwanandani/kyupinaizesheni hawavai.😅😅 nasikia kwenye massage huwa wanavua nguo wote wanabaki kama walivyo zaliwaa
😅😅 hapa mbona rahisi sana kupiga u turn, tumuombee mtoa mda arudi salama maana na nina sikia wanakuwa kwenye kachumba kenye giza peke yao na muziki ..Yeah!Wanavaa suti za kuogea.Yaani wanabaki kichele hata kimwanandani/kyupinaizesheni hawavai.
Hela zinamsumbua anataka akandwekandwe kama maandazi.Mi nashindwa kuelewa mwanaume unataka massage for what
Ukimwambia mkeo akufanyie hpo ni kupandishana nyege.Kichwa cha chini sasa basii
Dua zetu haziwezi kufanya kazi.Amekwishaaa!Ame-gooo tayari.😅😅 hapa mbona rahisi sana kupiga u turn, tumuombee mtoa mda arudi salama maana na nina sikia wanakuwa kwenye kachumba kenye giza peke yao na muziki ..
Bro, kwenye tafiti zangu za ki jamii mwenye maamuzi ya kuvaa ndom ni mwanaume na sio mwanamka. Mwanamke anaweza kukukazia sana uvae hiyo kitu ukicheza na akili yake unakula liveWanakuaga wamejiandaa. Hamna mtu yupo tayari kurisk
Oya kwa moto huko hatari.
Hapo utachagua kama uchomwe chanjo ya korona au uandike usia huku shingo umeweka upande.Bro, kwenye tafiti zangu za ki jamii mwenye maamuzi ya kuvaa ndom ni mwanaume na sio mwanamka. Mwanamke anaweza kukukazia sana uvae hiyo kitu ukicheza na akili yake unakula live
Mimi najitolea nikukande muheshimiwa.Hivi kwanini parlor message zote wanakua wadada tu? Mie nataka wanazofanya wanaume only, nimetafuta sijapata.
Lol
hazitamsaidia maana UTI atayopata ni zaidi ya sugu, Kupona kwake mpaka aende makao makuu ya AZUMA apate V.I.P special formula.Abebe AZUMA kabisa
Hiyo lugha eti chupinaisationYeah!Wanavaa suti za kuogea.Yaani wanabaki kichele hata kimwanandani/kyupinaizesheni hawavai.
😅😅Dua zetu haziwezi kufanya kazi.Amekwishaaa!Ame-gooo tayari.
Sijawahi kusikia Mwanamke ananiambia Nivae ndomuBro, kwenye tafiti zangu za ki jamii mwenye maamuzi ya kuvaa ndom ni mwanaume na sio mwanamka. Mwanamke anaweza kukukazia sana uvae hiyo kitu ukicheza na akili yake unakula live
Bei elekezi mkuuKuna sehemu msasani unazaliwa upya
,😅😅 mtu anachagua vyoteee tuHapo utachagua kama uchomwe chanjo ya korona au uandike usia huku shingo umeweka upande.