allow cp
JF-Expert Member
- Aug 15, 2026
- 1,134
- 3,467
Safii sana mkuuSijawahi kusikia Mwanamke ananiambia Nivae ndomu
Safii sana mkuuSijawahi kusikia Mwanamke ananiambia Nivae ndomu
Mwanamke ni chombo cha Starehe, angalia bongo flava zote, au R&B music zote za Marekani na Ukata, utakuta Mwanamke ndiye Yuko Uchi lakini Mwanamziki mwenzie wa kiume kavaa sutiHivi kwanini parlor message zote wanakua wadada tu? Mie nataka wanazofanya wanaume only, nimetafuta sijapata.
Lol
Hahaa Mkuu Ukimwi nje nje huko hayo sasa sio massage rooms ni madanguroHapo utachagua kama uchomwe chanjo ya korona au uandike usia huku shingo umeweka upande.
Mimi najitolea nikukande muheshimiwa.
hazitamsaidia maana UTI atayopata ni zaidi ya sugu, Kupona kwake mpaka aende makao makuu ya AZUMA apate V.I.P special formula.
Zipo ambazo zina wanaume wana wafanyia wanawake ( wanawake wanaoenda fanya massage hupewa option ya kuchagua mwanaume au mwanamke wa kumfanyia ).Hivi kwanini parlor message zote wanakua wadada tu? Mie nataka wanazofanya wanaume only, nimetafuta sijapata.
Lol
Nakutumia pm.Nitakuzawadia na balangulu.Tag locs plz.
Huko naweza kupata kazi au lazima niwe na Six Pack?Zipo ambazo zina wanaume wana wafanyia wanawake ( wanawake wanaoenda fanya massage hupewa option ya kuchagua mwanaume au mwanamke wa kumfanyia ).
Toa location hapa hapa na Shemezi zangu wengine nap wanufaikeNakutumia pm.Nitakuzawadia na balangulu.
Mwanamke ni chombo cha Starehe, angalia bongo flava zote, au R&B music zote za Marekani na Ukata, utakuta Mwanamke ndiye Yuko Uchi lakini Mwanamziki mwenzie wa kiume kavaa suti
Lazima uwe handsome plus six packHuko naweza kupata kazi au lazima niwe na Six Pack?
Zipo ambazo zina wanaume wana wafanyia wanawake ( wanawake wanaoenda fanya massage hupewa option ya kuchagua mwanaume au mwanamke wa kumfanyia ).
Njoo masakiTag Locs plz. Wanakofany wanaume message.
Wengi hawa wanakuwaga nguvu za Kiume wasiwasi sanaLazima uwe handsome plus six pack
Wwe nafikiri unataka kupata U.T.I
Kwani kwani kubwa huwezi kupata UTI?Bei chee tena?, Unataka UTI kwa bei chee?.
Cc. BICHWA KOMWE -Nini hizi?
Kuna sehemu wanatoa hizo huduma, huku usalama wa afya wa yako ni uhakika.Kwani kwani kubwa huwezi kupata UTI?