Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Hivi kwanini parlor message zote wanakua wadada tu? Mie nataka wanazofanya wanaume only, nimetafuta sijapata.
Lol

Wewe ukifika waambie unataka huduma ya wanaume, watakuitia mtoa huduma mwanaume akuhudumie.
Mjini hapa, zipo saluni za kiume, vinyozi wanawake, zipo Spa za men only n.k.
Zipo Spa unachagua watu wawe wangapi na jinsia gani. Zipo za mashoga na wasagaji zinafahamika waziwazi Sinza hapo. Kuna upuuzi mwingi unafanyika nyuma ya kivuli cha Spa, zipo zile wanabwia unga, wanakula poda kwa sindano n.k
 
Duuh
 
Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.

Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na relaxation.

Kutokana na Kipato finyu naomba mwenye location ya bei chee aniambie hapa, next month nijilipue.

Ni hayo Tu.
Nenda kwa mkeo maana hata mchepuko anagharama
 
Mtoa mada kila kitu kina mara ya kwanza; kila kitu kina ushamba wake wa kutokukijua. Siku ya kwanza lazima utatolewa ushamba tuu. Kaa kimasta ukienda Spa mara ya kwanza, usiambiwe shika pale unashika, nenda kule unaenda kifala fala, kaa hivi unakaa. Demu anakupa mgongo unashika kalio, unagusa shanga, hizo zote utawekewa kwenye bili, na lazima utalipa tuu.
Wajanja wakifika Spa, kunakuwa hamna mambo mengi, unapewa huduma chap, vingine unakataa unasepa zako, usianze shobo. 😊
 
Mkuu hii ni ushauri mzuri Sana kwenye hii section.

Uzuri wangu Mimi kila ninapoenda kupata huduma hata kama ni mgahawani lazima ni uulize hii sh ngapi? Sina ushamba wa kusema Mfuko imekaa pesa kwamba kila kitu nabeba Tu, never
 
Back
Top Bottom