Anaogopa Mbunye yake kuchezewe na wanawake wenzie
Vyovyote iwavyo iwe Spa, Massage au Sauna, hiyo kei yake haitahusika. Itahusika akitaka yeye. Atakuwa tuu alikwenda na wenge jamaa wakamkataa. 😊
Anaogopa Mbunye yake kuchezewe na wanawake wenzie
Au havutii umbo na Sura yake, maana wale ma men wa kwenye saluni Wana njaa Sana wasingekataa hiyo request, it cost them nothing lakini bado walikataaVyovyote iwavyo iwe Spa, Massage au Sauna, hiyo kei yake haitahusika. Itahusika akitaka yeye. Atakuwa tuu alikwenda na wenge jamaa wakamkataa. 😊
Au havutii umbo na Sura yake, maana wale ma men wa kwenye saluni Wana njaa Sana wasingekataa hiyo request, it cost them nothing lakini bado walikataa
Ahaa kumbe kushikwa shikwa ni wewe uptake au wanakuuliza kama unataka na hii?Kutakuwa na namna, zile ni biashara na mteja ni mfalme. Wapo watu wanaenda kupata Sauna tuu, hawafanyiwi Spa wala Massages. Anaingia tuu kwenye chumba cha joto, anatolewa jasho, sumu (Detoxification). Anaondoka hakuna mtu anamshika.
Shobo za kushikana sehemu nyeti, wanaleta watu wenyewe kwa genye zao.
Chukua taxi/Uber hadi Manzese darajani ukifika pale chukua bodaboda mwambie akupeleke uwanja wa fisi.Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.
Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na relaxation.
Kutokana na Kipato finyu naomba mwenye location ya bei chee aniambie hapa, next month nijilipue.
Ni hayo Tu.
Kuna maseji hapo?Chukua taxi/Uber hadi Manzese darajani ukifika pale chukua bodaboda mwambie akupeleke uwanja wa fisi.
ZipoKuna maseji hapo?
Bei elekezi ikojeZipo
Hahaha asante Mzee umenisanua, kwani Sisi wakulima hamtaki tufurahie maisha kama nyinyi japo siku moja?Kijana fanya palizi msimu umekaribia bei ya pembejeo si unajua iko juu ma ccm hawana huruma sasa we elekeza hizo pesa kwny spa tukukute na na deni kwny agrovet
Kuanzia buku kumiBei elekezi ikoje
Ni tiba zenye Starehe ndani take sio tiba ya homaKumbe tajiri unataka kwenda kupata huduma hata huduma zenyewe huzijui! Ungeuliza sasa kwenye post.
Nitakueleza kidogo: Kuna huduma inaitwa Spa, Massages na Sauna ( chumba cha mvuke au joto). Hiyo Spa, ni treatment ya mwili, body scrubs, facial, hydrotherapy n.k.
Massages, tiba mwili, hand-on treatment inaweza isiwe mwili wote, lengo ni kukanda kanda soft tissues and muscles kwenye maeneo flani flani kulingana na unavyotaka.
Sauna, unaweka kwenye chumba maalum cha joto kali, kwa lengo la kukutoa jasho/sumu/ Detoxification ya mwilini kupitia ngozi. Ni kama tuu umepiga tizi kali, utaona mwili umetulia, watu wa mazoezi wanajua hili zoezi likiisha unajisikiaje mwilini.
Kwa hiyo nenda; ukilenga unataka nini bwashee. Usiende kichwa kichwa ni tiba zile. 😊
duhMi msaada wangu kwako ni huu ... UkimaliZa kurelax kanywe
Azuma 2
Cefixime 1 gm 400
Metronidazole 10
Na kesho yake malizia azuma 1. Halafu kunywa doxycycline 1 asubuhi moja jioni kwa siku 3. Iwe gono Kali ama UTI Kali inaisha ndugu yangu. Huo ndio msaada wangu kwako.
Umetumia guideline ya Nchi gani?Mi msaada wangu kwako ni huu ... UkimaliZa kurelax kanywe
Azuma 2
Cefixime 1 gm 400
Metronidazole 10
Na kesho yake malizia azuma 1. Halafu kunywa doxycycline 1 asubuhi moja jioni kwa siku 3. Iwe gono Kali ama UTI Kali inaisha ndugu yangu. Huo ndio msaada wangu kwako.
Kumbe ni madanguro?Hutopata body relaxation yoyote zaidi ya kuishia kut..mba tu. Hawana ujuzi wowote zaidi ya kukunyegelesha ukishapagawa ndio wakutajie dau.
Kifupi we sema unataka uende danguro ukato.mbre tu.
Sisi watu wa bush mbona hamtupendi kwanini lakini?Mkuu ww baki tuh bush miji inawenyewe
ONHOOOO!
Ni tiba zenye Starehe ndani take sio tiba ya homa