Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.

Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na relaxation.

Kutokana na Kipato finyu naomba mwenye location ya bei chee aniambie hapa, next month nijilipue.

Ni hayo Tu.
Mkuu usijaribu huko ,utaacha NDALA ,ina addiction hiyo kitu.
 
Package zipo kibao;

1. Kuna half body (unachagua kiunon kwenda juu au kwenda chini. Itakua ndezi ukichagua kwenda juu), hii dk 30 wengi elfu 30-40.

2. Kuna full body, hii 50-60

3. Kwenye full body Kuna vihonjo extra kama body to body, au jacuzzi massage. Hii itaongezeka kidogo kutoka.kwenye hio Bei.

4. Sasa mtego ni happy ending kama alivosema Red black yaani unafanyiwa massage unapandishwa nyege ukitaka mzigo anakuambia kimoja 50 muda ule una nyege unasema sawaaah.

NB: Hawa watu sio masseuse yaani hawana utaalamu wowote, ni vitoto tu, ukitaka professional nenda Massaki Mikocheni uko Kuna Spa za Wachina, JP, Korea, nk. Hao ni professional. Ila Bei hadi $30 kwa nusu saa.
Bora ukalipa laki kwa mwanamke mkamalizana na uzinzi kuliko kuchezewa chezewa na watu hawajui nini cha kubinya nini cha kuacha uje kubinywa mshipa wa fahamu upate stroke. Zile sio therapy ni vituo vya kupandisha nyege ulipie huduma ya kuzishusha. Hakuna therapist mle Kuna wapindisha nyege.
 
Back
Top Bottom