Package zipo kibao;
1. Kuna half body (unachagua kiunon kwenda juu au kwenda chini. Itakua ndezi ukichagua kwenda juu), hii dk 30 wengi elfu 30-40.
2. Kuna full body, hii 50-60
3. Kwenye full body Kuna vihonjo extra kama body to body, au jacuzzi massage. Hii itaongezeka kidogo kutoka.kwenye hio Bei.
4. Sasa mtego ni happy ending kama alivosema
Red black yaani unafanyiwa massage unapandishwa nyege ukitaka mzigo anakuambia kimoja 50 muda ule una nyege unasema sawaaah.
NB: Hawa watu sio masseuse yaani hawana utaalamu wowote, ni vitoto tu, ukitaka professional nenda Massaki Mikocheni uko Kuna Spa za Wachina, JP, Korea, nk. Hao ni professional. Ila Bei hadi $30 kwa nusu saa.