Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Wewe ukifika waambie unataka huduma ya wanaume, watakuitia mtoa huduma mwanaume akuhudumie.
Mjini hapa, zipo saluni za kiume, vinyozi wanawake, zipo Spa za men only n.k.
Zipo Spa unachagua watu wawe wangapi na jinsia gani. Zipo za mashoga na wasagaji zinafahamika waziwazi Sinza hapo. Kuna upuuzi mwingi unafanyika nyuma ya kivuli cha Spa, zipo zile wanabwia unga, wanakula poda kwa sindano n.k

Sizitaki za Gays na Lesbos, hizo nazijua hadi zilipo, nataka za straight uchwara, ila za Wanaume only.
 
Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu.

Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima, Mteja ananufaika kwa kukandwa kandwa viungo, kunyoshwa misuli na kujisikia mwili Una mapumziko na relaxation.

Kutokana na Kipato finyu naomba mwenye location ya bei chee aniambie hapa, next month nijilipue.

Ni hayo Tu.
Manzese, tandale zipo hata za jero
 
Zipo, omba tuu watoa huduma kwa jinsia unayotaka. Ni huduma ile, watu wanataka hela.

Niliwahi enda pale Makumbusho, nikakuta wanawake, nikaomba nifanyiwe na mwanaume tena walikua wakaka wawili vinyozi walikataa eti sio kazi yao, ni kazi ya hao wadada, nao wanawake wakawa wanakazania wakanifanyie wao, mxcxiiiieeew
Nikatoka zangu. 😂😂😂😂
 
Wewe ulienda na lengo la kupigwa Miti🤣🤣
 
Niliwahi enda pale Makumbusho, nikakuta wanawake, nikaomba nifanyiwe na mwanaume tena walikua wakaka wawili vinyozi walikataa eti sio kazi yao, ni kazi ya hao wadada, nao wanawake wakawa wanakazania wakanifanyie wao, mxcxiiiieeew
Nikatoka zangu. 😂😂😂😂

Kwanini hutaki kufanyiwa na wadada?
 
Back
Top Bottom