Anayejua location ya Body Massage ya bei chee aniambie, nataka kutoa ushamba na Ku relax pia

Imenikumbusha mbali sana kulikuwa na ndugu yangu kabisa japo yeye kwa kipindi kirefu sana kasomea maeneo ya vijijini alifanikiwa kupata nafasi uhamiaji baada ya kutoka mafunzoni akapangiwa kituo Cha kazi.
Alikutana na mshikaji huko huko depo akawa mwanae sana huyo yeye alikuwa mtu wa hizi mambo unazotaka kwahiyo kuna siku walienda wote sasa ndugu yangu nilikuja kuambiwa alikuwa akiguswa anacheka sanaa yani hadi ikiwa kero.

Kuja kumuuliza nini tatizo alijibu "tatizo huyu dada ananinyegelaaa" (yani anamtekenya).
 

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
Atafute thai massage kwa hiyo hela dakika 90..
 
Dakika tano ni nyingi Sana, tena cha kwanza maximum ni 2mins
Afu 50k shwaaaaaaaaaaaah imeenda πŸ™Œ

Kuna demu kitaa aliniambia nimpe laki ili nimlombe, tena hapo mwanzo alitaka laki nne, ety kuna ishu zake anataka kufanyia πŸ˜‚
Ah kama khuma yake n oksijeni kwamba nisipopata nitakufa, bc tusubir pilau la msiba wangu
 
Kino ndo wapi?!!! Mi mgeni mjini hapa jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…