Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

.....ujazaliwa[emoji777]
...hujazaliwa[emoji3581]
...ajalipa[emoji777]
....hajalipa[emoji3581]
.....umuweka [emoji849]
Ndo[emoji777]
Ndiyo...[emoji3581]
....maskini[emoji777]
....masikini[emoji3581]
Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]

JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]
 
mbona kima cha chini recently ni 350,000 basi ongezeko litakuwa 20
masihara haya
 
Boss ajira ina umhimu , wake hasa bima ya Afya , kuuza mafungu ya nyanya inahtaji roho ya paka
 
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira

Kwasababu hii ni JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] umenikumbusha enzi zile mtaani tunashangilia umeme ukirudi wakat home kuna kibatari
 
Acha kudhani mshahara utakusaidia kumaliza ugumu wa maisha.Jump to plan B kama ujasiriamali huku ukifanya kazi mimi nimeanza kazi 1987 na mshahara wa tsh.850.55 mia nane hamsini na senti 55 na sasa napokea zaidi ya milioni mbili kwa mwezi.Kinachonisaidia ni biashara na sio mshahara.Mshahara utakusaidia tuu kukopa bank na kuanza kununua nafaka na kuuza full stop.
 
Mkuu Take it or leave it,

Jamaa kaajiriwa mwaka Jana, kama kuna watu wanapanda Daraja Kwa mwaka mmoja basi sawa!

Uyo sio kapata nyongeza ya mshahara atakua kapanda grade hakuna nyongeza kubwa ivo [emoji28]
 
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira

Kwasababu hii ni JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpwayungu ooooh
 
Ofisi ya CAG wanaondolewa kwenye TGTS wanapelekwa kwenye level level zingine
Watajua na salary nzuri km zingine zenye maziwa na asali
Kwani wale watu hawako kwenye salary za ki TRA? Wataanza kulipwa bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…