Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Tatizo watu wanapenda kuosheana balaa,uzi ushabadilika
Ni ngumu sana JF watu wakajadili mada miaka hii.
Ni tambo, Miosho n.k
Pia watu wana panic sana,
BTW sidhani kama mwaka huu kuna nyongeza ya mshahara, ingesha trend.