Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

Anayejua mchakato wa nyongeza ya mshahara 2023/2024 kwa kuwa kima cha chini kimetajwa kutoka 300,000/- Hadi 370,000/-

.....ujazaliwa[emoji777]
...hujazaliwa[emoji3581]
...ajalipa[emoji777]
....hajalipa[emoji3581]
.....umuweka [emoji849]
Ndo[emoji777]
Ndiyo...[emoji3581]
....maskini[emoji777]
....masikini[emoji3581]
Mtu hata kuandika hawezi halafu eti ndio ameacha kazi ya 1.5M kwa mwezi [emoji23][emoji23][emoji23]

JF ina Matahira mengi kweli, huyu hata uhakika wa kula leo mchana hana[emoji23]
 
Naomba wale wataalam wa kimahesabu watuchakatie tujue makisio ya ongezeko la mshahara mwaka 2023/2024

Tukiwa kwenye majukwaa kama hivi si mbaya kujua Kwa sababu iliishatangazwa kianzio kutoka 300k-370k TSH.

Rejea hotuba ya waziri wa fedha bungeni.

Sasa tujie hizi

Naomba kuwasilisha
mbona kima cha chini recently ni 350,000 basi ongezeko litakuwa 20
masihara haya
 
Mama Edina, mimi nakuombea kwa Mungu ufunguke, Yani siku 25 unafanya kazi kwa kudamka and mwisho unapata 380,000?

Kweli ukijipanga sokoni vizuri, kwa sala, na maombi, ukauza hata viazi, unatoa 450,000 kwa mwezi.

Hivi umpe mtu 380,000 kwa mwezi hapa dar es salaam, binti ajaolewa, analea ndugu, wazazi, maisha sio fair.
Boss ajira ina umhimu , wake hasa bima ya Afya , kuuza mafungu ya nyanya inahtaji roho ya paka
 
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira

Kwasababu hii ni JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3] umenikumbusha enzi zile mtaani tunashangilia umeme ukirudi wakat home kuna kibatari
 
Acha kudhani mshahara utakusaidia kumaliza ugumu wa maisha.Jump to plan B kama ujasiriamali huku ukifanya kazi mimi nimeanza kazi 1987 na mshahara wa tsh.850.55 mia nane hamsini na senti 55 na sasa napokea zaidi ya milioni mbili kwa mwezi.Kinachonisaidia ni biashara na sio mshahara.Mshahara utakusaidia tuu kukopa bank na kuanza kununua nafaka na kuuza full stop.
 
Angalia isije kuwa unasema hivyo halafu wewe huna hata huo mshahara kwa mwezi wala income yoyote, kama yule mwingine aliyekuwa anajimwambafai humu kumbe anatamani ajira

Kwasababu hii ni JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpwayungu ooooh
 
Ofisi ya CAG wanaondolewa kwenye TGTS wanapelekwa kwenye level level zingine
Watajua na salary nzuri km zingine zenye maziwa na asali
Kwani wale watu hawako kwenye salary za ki TRA? Wataanza kulipwa bei gani
 
Back
Top Bottom