Anayejua mpira ataelewa hili

Nimekukubali, kweli unaujua mpira!
 
Ulipata like 5 mkuu
 
Hivi aliyeandika haya anajisikiaje sasa hivi?
 
Jamaa alijifurahisha kweli. Hivi kwa nini tunakuwaga na mihemuko kiasi hiki? Mpira jamani hauko hivyo, sasa ona kilichotokea, wamakonde wamewakonda hadi mmekonda ile mbaya ndani ya muda mfupi. Tuwe na utamaduni wa kuweka akiba ya maneno ndugu zangu, tusiwe roporopo kama Manara.
 
Kaka mkubwa nakusalimia tuuuu?
 

Haya Mikia fc, asante kwa kushiriki kapambane na kina Namungo fc, kumbuka Kagera anakusubiri kwa hamu kubwa.
 
Kwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Kilichowapata mikia nadhani unakijua,mtoa mada aliongea kimpira wazee wa kutembea na matokeo mkaja na analyse yenu uchwara
 
Mwenye droo ya away imemsaidia nini sasa, mpira wa kisasa ni kushinda popote, muache kukalili ndg zangu, nazani mmejifunza.
Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…