Anayejua mpira ataelewa hili

Anayejua mpira ataelewa hili

Nimekukubali, kweli unaujua mpira!
 
Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Ulipata like 5 mkuu
 
Hivi aliyeandika haya anajisikiaje sasa hivi?
 
Jamaa alijifurahisha kweli. Hivi kwa nini tunakuwaga na mihemuko kiasi hiki? Mpira jamani hauko hivyo, sasa ona kilichotokea, wamakonde wamewakonda hadi mmekonda ile mbaya ndani ya muda mfupi. Tuwe na utamaduni wa kuweka akiba ya maneno ndugu zangu, tusiwe roporopo kama Manara.
Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
 
Kaka mkubwa nakusalimia tuuuu?
Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.

Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.

Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.

Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.

Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa
 
Impo.... Rollers wamecheza vizuri kwa kuwa wamekutana na timu iliyokuwa inasaka matokeo....... Simba waliwain wamakondw kwa kuwa wao nia yao ni ama kushinda, ama kuto droo.... ndo maana walijaribu kuwamaintain.... hence, Ynga wana kibarua kikubwa zaidi ya simba, kwani rollers watatumia advantage ya uwanja wa nyumbani.... ingawa mpira ni dakika tisini lakini mara nyingi mtu wa nyumbani anapewa kipaumbele cha ushindi ktk probability.

Kwa hiyo jipangeni kutoa shukrani ya kushiriki.

Haya Mikia fc, asante kwa kushiriki kapambane na kina Namungo fc, kumbuka Kagera anakusubiri kwa hamu kubwa.
 
Kwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Kilichowapata mikia nadhani unakijua,mtoa mada aliongea kimpira wazee wa kutembea na matokeo mkaja na analyse yenu uchwara
 
Mwenye droo ya away imemsaidia nini sasa, mpira wa kisasa ni kushinda popote, muache kukalili ndg zangu, nazani mmejifunza.
Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away
 
Back
Top Bottom