Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #81
Vp bado upo?
Huo ujinga utajulikana nani anao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ujinga utajulikana nani anao...
Unajua sana mpira,karithi mikoba ya PatrickWe kweli mpira hujui Simba combination ipi ilikua tatizo wakati maingizo mapya Leo wachezaji watatu na mmoja akiwa ni kipa?
Vp una hali gani huko?Kwanini unateseka [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Leo vp umeelewa Leo game approach?We haukuelewa game Approach ya mwalimu Simba Leo tuliwaheshimu wapinzani tulienda kutafuta droo timu ilikua inacheza taratibu
Kwani tatizo Yanga umeona lilikua kwenye beki? # Yanga Baridiiiiiii
Kwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Vipi wamefunguka ?Kwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Hawana mihemkoMashabiki wa Yanga huwa wanaona mbaaali sn tofauti na mikia. Wew ni mtabiri aiseee
Ulipata like 5 mkuuWewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Hivi aliyeandika haya anajisikiaje sasa hivi?Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Wewe jamaa naona umeamua kujifurahisha mwenyewe Simba ipi ni ya kufungwa taifa na wale wamakonde? kivyovyote vile wale wanakufa dar tena kwa goli nyingi tu
Na kuhusu Yanga hana uwezo wowote wa kwenda kushinda ugenini dhidi ya rollers na sio kisa hana muunganiko tu bali hana kikosi cha kuwafunga wale jamaa hata mechi ichezwe december ligi ikiwa imechanganya yanga bado atakaa
Kwa mkapa si mahali salama kwa timu yeyote itayokuja kucheza na simba.
Kikosi chetu ni kile kile karibu wachezaji saba wa first eleven walihusika mwakajana bado tunao.
Hao ud songo tp mazembe aliingia kichwa kichwa akala goli tatu mwaka juzi; sisi nikinani tusiwaheshimu wapinzani wakiwa kwao. Tulijifunza mwaka Jana.
Kihulisia uwezo wa kupata matokeo away hamna uwezo huo kama Jana tu mlikuwa mnaruka ruka uwanjani.
Penati 3 ndani ya mechi mbili; hamna uwezo wa kudumkiza mpira golini mpaka msubiri mbeleko za refa
Impo.... Rollers wamecheza vizuri kwa kuwa wamekutana na timu iliyokuwa inasaka matokeo....... Simba waliwain wamakondw kwa kuwa wao nia yao ni ama kushinda, ama kuto droo.... ndo maana walijaribu kuwamaintain.... hence, Ynga wana kibarua kikubwa zaidi ya simba, kwani rollers watatumia advantage ya uwanja wa nyumbani.... ingawa mpira ni dakika tisini lakini mara nyingi mtu wa nyumbani anapewa kipaumbele cha ushindi ktk probability.
Kwa hiyo jipangeni kutoa shukrani ya kushiriki.
Hivi aliyeandika haya anajisikiaje sasa hivi?
Sawa.YANGA OUT
SIMBA NEXT STAGE
Kilichowapata mikia nadhani unakijua,mtoa mada aliongea kimpira wazee wa kutembea na matokeo mkaja na analyse yenu uchwaraKwa anaejua mpira, ataelewa leo simba walikuwa wanatafuta droo, walipoozesha mpira hawakutaka kufunguka ila taifa utaona watakavyofunguka
Kuna video inatrend shabiki wa mikia analia pale taifa,nahisi atakua huyu aliecomment hii pumbaSawa.
Kikubwa muwe mnahudhuria uwanjani kuipa sapoti timu yenu, sio kujivunia droo home na kuponda mwenye droo ya away