Anayejua namna ya kutuma hela kwa usiri naomba anifahamishe

Fanya kati ya haya
1. Kama una Bank account namba yake kamuwekee bila kuandika depositor name
2. Nenda kwa wakala, mpe pesa na namba ya simu aweke kisha akuoneshe muamala kuwa umefanikiwa.

Hivyo tu.
Zote hizi inabidi kwenda benki au kwa wakala physically, kwa sasa siwezi.
 
Kwani wewe nini unatuku multiple guys on the same day, au mimi leo sipati
 
Au unataka kumtumia yule jamaa wa Igunga mwenye suti nyeusi aliyemgonga ngumi chawa aliyeenda kuvruga mkutano wa CHADEMA, jamaa alibaki anaruka ruka kwanza kama yupo ulingoni ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwani wewe nini unatuku multiple guys on the same day, au mimi leo sipati
Ofcourse utapata, nafasi yako hakuna wa kuiziba, umenishika pabaya Schatz ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Nilikua nakutafuta, yani umebadili ID bila kuniambia, sijapenda ๐Ÿ˜ค
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ