Anayejua namna ya kutuma hela kwa usiri naomba anifahamishe

HALLELUJAH HAELLELUJAH NO sijuikitu gani imevunjwa mbawa....

unaweza kutoka na gari yako hadi mtaa jirani na eneo lako kisha chagua wakala yoyote muweke hiyo pesa kisha rudi nyumbani na fungulia TBC kwa habari za uhakika
 
Au unataka kumtumia yule jamaa wa Igunga mwenye suti nyeusi aliyemgonga ngumi chawa aliyeenda kuvruga mkutano wa CHADEMA, jamaa alibaki anaruka ruka kwanza kama yupo ulingoni πŸ˜€πŸ˜€
Nikijua namna ya kutuma na huyo lazima nimpe hata kalaki akanywe pensi baridiiiiiiiiiiii!
Kama una namba yake ilete hapa!
 
HALLELUJAH HAELLELUJAH NO sijuikitu gani imevunjwa mbawa....

unaweza kutoka na gari yako hadi mtaa jirani na eneo lako kisha chagua wakala yoyote muweke hiyo pesa kisha rudi nyumbani na fungulia TBC kwa habari za uhakika
Kuna mtu amenifanyia mambo mazito, nimelainika πŸ˜‚ .
Shida siwezi kutoka hapa nilipo πŸ€¦β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…