secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Kabla ya yote NRNE βπ½ππ½
Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
Ukiachana na sababu yangu binafsi, kuna watu humu huwa wanashare shida mbalimbali, sometimes tunaogopa kuwasaidia kuepuka kureveal identity zetu. Anayejua namna au mwenye uzoefu tushirikishe tafadhali.
- Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo.
- Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende mwenyewe physically.
Natanguliza shukrani!
View attachment 3363466
PS:
NRNE, nchi yetu wote, ukatili haukubaliki.
Binti Sayunii wala usihangaike kunitumia hiyo hela kwa Siri maana nikishaona hela yoyote imeingia kwenye Simu yangu nitajua wazi kuwa zinatoka kwako.
Hayo ndio maneno sasaSawa, ngoja nije PM kwako π
Hayo mambo aliyonifanyia nilikua na kiu nayo sana.Dah,
Ulikuwa hujafanyiwa muda mrefu, eh?
Sasa mbona umemtag mtu siyo πππππBinti Sayunii wala usihangaike kunitumia hiyo hela kwa Siri maana nikishaona hela yoyote imeingia kwenye Simu yangu nitajua wazi kuwa zinatoka kwako.
Nipe kwa cash ili kuepuka makato yasiyo ya lazima.
I think that's the best you can do π.
I'm very sorry π.Sasa mbona umemtag mtu siyo πππππ
nataka nikutumie muamala..namba iko wp?Kabisa mheshimiwa
mchangiaji wa tone toneUtakuta huyu ni waziri, hadi raha......
Hahaha,Hayo mambo aliyonifanyia nilikua na kiu nayo sana.
Na hapo ni kwenye simu tu, sijui tukikutana live itakuwaje π π
π π π mbona msamaha kwa msisitizo hivyo.I'm very sorry π.
Nisamehe sana, nimeikosa mimi nimekosea sana.
Duh aise.
nakuomba pm namjada na wewe kidogo binti yanguKuna mtu amenifanyia mambo mazito, nimelainika π .
Shida siwezi kutoka hapa nilipo π€¦ββοΈ
Nimemtag mtu ambaye hahusiki aise.π π π mbona msamaha kwa msisitizo hivyo.
Tuliza wenge, umemisiwa lakini!Nimemtag mtu ambaye hahusiki aise.
Nishajiandaa kudata πHahaha,
Kama alikufikisha kwa simu, mkikutana jiandae kupagawa kwa muda.
Kama ndivyo mtumie hiyo maokoto wazi bhana,, maana ukituma anonymously anaweza kuhisi kuna mtu kakosea kumtumia, so hatazitumia, kwa hiyo lengo lako la kumfurahisha halitatimia
Nakazia hili πNjia nyingi hapa wanazo Mention wadau bado ni traceable, Uhakika kabisa ni Chadema aangalie namba ya Kupokea Fedha kwa Cryptocurrency
Faida ya Crypto kunakuwa hakuna regulator au middle man wa kufanikisha hizo transaction na anonymity yake ni ya hali ya juu sio centralized naamini kuna wadau wengi sana behind the scene wanatamani kuweka mzigo heavy kufund izo Movement za chadema ila swala inakuja channels za kufanikisha ilo zipo very limited na Mamlaka wanaweza kutrace na kujua sender wa mzigo ni nani
Tunaamini intel ya Chadema iko juu japo ya mamlaka iko juu zaidi, Kuelekea uchaguzi wa 2020 kuna NGO nyingi sana zilikuwa blacklisted na Magu kwa madai kuwa zinahusika na kupitisha funds za kurun Political parties na kufund mambo mbalimbali ili ku destabilize taifa
Chadema wekezeni kwenye Teknolojia fanyeni hiring hata ya Consultant wazuri ili muone ni approach ipi itakuwa njema kwenye ukusanyaji wa izo funds
Kesho msajili wa vyama ataamka na kusema tone tone ni null and void mtapoteana
Haya mimi niekumisi sana.Tuliza wenge, umemisiwa lakini!
isijekuwa unataka kuchangia tone tone na wewe ni kigogo wa CCMKabla ya yote NRNE βπ½ππ½
Kuna mtu kanipa raha sana leo nataka nimtunuku, naomba anayejua namna ya kutuma fedha iwe kwa simu au online bila jina kuonekana anijulishe.
Ukiachana na sababu yangu binafsi:
- Mtumiwaji yupo Tanzania, so usisuggest cashapp au venmo.
- Naomba namna nyingine mbali na kutumia wakala ambayo ni lazima niende mwenyewe physically.
Anayejua namna au mwenye uzoefu tushirikishe tafadhali.
- Kuna kampeni za kisiasa, wengine wanatamani kuchangia ila wanaogopa kuwa traced na ikaathiri biashara au kazi zao.
- Kuna watu humu huwa wanashare shida mbalimbali, sometimes tunaogopa kuwasaidia kuepuka kureveal identity zetu.
Natanguliza shukrani!
View attachment 3363466
PS:
NRNE, nchi yetu wote, ukatili haukubaliki.
Jina andika hata la uongo namba na mtandao husika usikoseee, hata sendwave inaendaUna uzoefu nayo, haileti jina kwenye SMS ya confirmation?
Akili kubwa wameshaielewa hii nyuzi!isijekuwa unataka kuchangia tone tone na wewe ni kigogo wa CCM
Gotcha, asante πJina andika hata la uongo namba na mtandao husika usikoseee, hata sendwave inaenda